TASWIRA YA DARAJA LA MANZESE JIJINI DAR WAKATI WA JIONI

Wakazi wengi wa maeneo mbali mbali ya jiji la Dar wakiwa wamepozi huku wengine wakipiga soga juu ya Daraja la kuvukia watembea kwa miguu Manzese,Eneo hili limekuwa likipendwa sana na watu hao hasa katika nyakati za sikukuu au mapumziko ya mwisho wa wiki kama walivyonaswa na Mwanalibeneke Othman Michuzi.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
TASWIRA ZA KUVUNJIKA DARAJA LA KINYEREZI JIJINI DAR
Daraja linalounganisha Kinyerezi na Majumba Sita jijini Dar es Salaam likiwa limevunjika tena baada ya kudaiwa kupita lori lililokuwa limebeba zege. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715…
11 years ago
Michuzi
10 years ago
GPL
TASWIRA KUTOKA JIJINI CHICAGO JIONI HII
Hivi ndivyo hali ya hewa ilivyo huko jijini Chicago nchini Marekani kwa sasa. Picha na Mdau Emma wa GPL kutoka Chicago kupitia Global Whatsapp 0753 715 779.
11 years ago
GPL
11 years ago
GPL
HII IMETOKEA MCHANA HUU ENEO LA MANZESE DARAJANI JIJINI DAR
AJALI hii imetokea mchana huu eneo la Manzese Darajani jirani na kituo cha Polisi Manzese jijini Dar es Salaam. (PICHA NA MDAU WA GPL,…
10 years ago
GPLDARAJA JINGINE LA SELANDA KUJENGWA JIJINI DAR
Waziri Magufuli  (kulia) akisisistiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani)  …Akisikiliza maswali ya wanahabari. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Nchini (Tanroads) Injinia Patrick Mfugale.…
10 years ago
Michuzi
TASWIRA MBALIMBALI JIJINI DAR




10 years ago
Michuzi
Taswira za mitaani jijini Dar



11 years ago
Michuzi
jioni hii katika makutano ya mtaa wa Aggrey na India jijini Dar

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania