Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA KUTOKA JIJINI CHICAGO JIONI HII

Hivi ndivyo hali ya hewa ilivyo huko jijini Chicago nchini Marekani kwa sasa. Picha na Mdau Emma wa GPL kutoka Chicago kupitia Global Whatsapp 0753 715 779.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TASWIRA YA DARAJA LA MANZESE JIJINI DAR WAKATI WA JIONI

Wakazi wengi wa maeneo mbali mbali ya jiji la Dar wakiwa wamepozi huku wengine wakipiga soga juu ya Daraja la kuvukia watembea kwa miguu Manzese,Eneo hili limekuwa likipendwa sana na watu hao hasa katika nyakati za sikukuu au mapumziko ya mwisho wa wiki kama walivyonaswa na Mwanalibeneke Othman Michuzi.

 

10 years ago

Michuzi

jioni hii katika makutano ya mtaa wa Aggrey na India jijini Dar

Jioni hii katika Makutano ya barabara za mitaa ya Aggrey na India,ambapo gari hiyo aina ya Noah iliyokuwa ikitokea katika kituo cha Mafuta imeigonga pikipiki hiyo iliyokuwa katika mtaa wa Aggrey kama ionekanavyo pichani.Dereva wa pikipiki (wa tatu kulia kama anavyoonekana akipatana na mwenye gari) akiweza kuruka na kutoka salama salimini.

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA UMOJA WA MATAIFA JIJINI NEW YORK

Wajumbe wanaohudhuria Mkutano wa 59 wa Kamisheni kuhusu Hadhi ya Wanawake, kwa wiki kuanzia jumatano hadi Ijumaa wameendelea na jukumu kubwa la kujadiliana, kuhabaridha,a kubadilishana uzoefu, kuelimisha na hata kujifunza namna ya kuzikabilia changamato mbalimbali ambazo mwanamke na mtoto wea kike wanaendelea kukabiliana nazo. Mkutano huu wa mbao ni wa waki mbili unafanyika sambamba na maadhimisho ya miaka 20 tangu kufanyika kwa mkutano wa kihistoria wa wanawake uliofanyika ...

 

10 years ago

Michuzi

BABA YAKE DULLY SYKES AZIKWA JIONI HII KWENYE MAKABURI YA KISUTU,JIJINI DAR

Mwili wa baba wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes,Marehemu Ebby Sykes ukiswaliwa nyumbani  kwa kaka wa marehemu maeneo ya Kawe jijini Dar leo mchana.Marehemu Ebby Sykes amezikwa jioni hii kwenye makabiri ya Kisutu. Mwili wa Marehemu Ebby Sykes ukipandishwa kwenye gari kwa safari ya kwenda kwenye mazishi,makaburi ya Kisutu jijini Dar jioni hii. Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes akiwa amepanda gari lililobeba mwili wa Marehemu baba yake kwa safari ya kwenda kupumzishwa...

 

9 years ago

Michuzi

JK AMPONGEZA RAIS MTEUL JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakifurahia matokeo mara baada ya Mwenyekiti wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva  kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii Oktoba 29, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA KUTOKA MSIBANI KWA AISHA MADINDA, KIGAMBONI JIJINI DAR

Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Aisha Madinda, Kigamboni jijini Dar leo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani