Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMASHA LA TIGO LAFANA BUKOBA LEO! WASANII WA ORIGINAL COMEDY WAFUNIKA MJINI BUKOBA!

Mpoki(kulia) akitamba!!Wasanii wa Original Comedy wakiwapa buradani wananchi waliohudhuria Tamasha hilo katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini leo Jumapili Novemba 9, 2014. Nani zaidi??Mwana-FA akiimba mbele ya umati wa wakazi wa Bukoba leo kwenye Tamasha la Tigo lililofanyika leo Jumapili jioni kwenye Uwanja wa Kaitaba.Kiingilio ilikuwa ni wewe kuvaa uhusika wa Tigo!!Mwana-FAKwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Tigo, Original Komedi na Wasanii kibao kutikisa jiji la Mwanza kwenye tamasha la Welcome Pack jumamosi hii

5

Meneja wa Bidhaa wa Tigo Bw. Edwin Mgoa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza tamasha kubwa la Tigo welcome pack litakalofanyika uwanja wa ccm Kirumba jijini Mwanza Jumamosi ya wiki hii, tamasha hili litaweza kuwapa wananchi fursa ya kupata maelezo ya kina kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni ya Tigo.

1

Msanii wa kundi la Original Komedi Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja akitoa vionjo kwenye mkutano wa waandishi wa habari(hawapo pichani) kwa ajili...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRAZ KUTOKA MJINI BUKOBA LEO

Mji wa Bukoba na kwa mbali ni Kisiwa cha Msila mojawapo ya kivutio na kielelezo cha Mji wa Bukoba. Picha zote na Faustine Ruta/BukobaSehemu ya Bandari ya BukobaBOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA KINANA BUKOBA MJINI LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia Mkutan wa hadhara leo, kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Bukoba, akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na ilani ya Uchaguzi ya CCM. (Picha na Bashir Nkoromo)Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Mashujaa mjini Bukoba leo, akiwa katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana mkoani Kagera. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpongeza Mbunge wa Bukoba mjini, Hamis...

 

10 years ago

GPL

WASANII WATINGA KASIBANTE FM KUFANYA MAHOJIANO, KUKINUKISHA LEO KAITABA BUKOBA


Dj Slay akiendesha kipindi cha mahojiano na wasanii wanaotarajia kupanda jukwaani leo kwenye Tamasha la Srengeti Fiesta 2014 Bukoba wakiwa wanamsikiliza kwa makini wakati wa Maswali na majibu kutoka kwa wananchi ndani a Studio za Kasibante Fm 88.5 . Wasanii wa Bongo flava wakiendelea kufanya mahojiano na mtangazaji wa Kasbante Fm,…

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO MJINI BUKOBA LEO

 Umati wa Wananchi wa Mji wa Bukoba ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Aghakhan kuhudhulia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, leo Septemba 19, 2015.Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi Bukoba waliofika kwenye Mkutano wa Kampeni, kusikiliza sera zake, uliofanyika kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani...

 

10 years ago

Michuzi

mashindano ya biblia yafanyika uwanja wa kaitaba leo mjini Bukoba

Mkuu wa Jeshi la Polisi mkoa wa Kagera (RPC) Henry Mwaibambe nae alipata picha ya pamoja na wasanii hao.Msanii wa muziki wa Injili, Bonny Mwaitege(kulia) akisalimiana Mtangazaji wa Radio Kasibante Mwl. Joyce Ruboz punde leo hii wakati wa kipindi cha Gospal flava cha Kasibante fm 88.5, Rose Muhando, Bonny Mwaitege na Gaston Sapula wanatarajia kupamba fainali za Mashindano ya Biblia leo hii kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba mjini kuanzia saa 8 Mchana. Shindano hili lililokuwa likiendelea...

 

11 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014 MJINI BUKOBA LEO - KASHAI 3 vs BAKOBA 0,

Na Faustine Ruta, Bukoba Michuano ya Kagasheki Cup 2014 imeendelea tena leo kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini kwa siku ya pili na kushuhudia mahasimu wawili Mmoja akimliza mwenzake bao 3-0. Mtanange wa leo hii Jumapili ulizikutanisha timu mbili matata kwenye hii ligi za Kashai na Bakoba FC na kushuhudia Timu ya Bakoba ikifungwa bao 3-0 bao zilizofungwa kipindi cha kwanza mbili na kipindi cha pili moja. Timu ya Kashai FC walianza kuifunga timu ya Bakoba bao la kwanza katika dakika ya 8...

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WATUA BUKOBA TAYARI KWA UFUNGUZI WA FIESTA 2014 LEO UWANJA WA KAITABA

Msanii OMMY DIMPOZ na wenzake wakishuka kwenye Ndege aina ya Precision leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba tayari kwa kukamua vilivyo katika mwendelezo wa Msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta, Tamasha linalotarajiwa kufanyika leo Ijumaa kwenye uwanja wa Kaitaba hapa Bukoba.Wasanii hao pamoja na watangazaji na wafanyakazi wengine wameingiatayari Bukoba wakitokea jijini Mwanza. Picha na Faustine Ruta wa bukobasports.comWasanii wakishuka kwenye Ndege tayari kwa Fiesta kesho Ijumaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani