Pilika pilika mjini Singida mchana huu wakati wakazi wa mji huo wakijiandaa na #Serengetifiesta2014 Ijumaa hii.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog08 Jul
MO, Diamond Platnumz kutikisa Singida mjini mchana huu
Mbunge wa Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji akishuka kwenye ndege mara tu baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Singida.
Mh. Mohammed Dewji akilakiwa na Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa manispaa ya Singida, Hassan Mazala mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Singida mjini kwa ajili kuhutubia Mkutano mkubwa ambao atawasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya mwaka 2005/2010 na 2010/2015 ambapo Mwanamuziki wa kimataifa Nassib Abdul almaarufu kama Diamond Platnumz...
10 years ago
GPLMO, DIAMOND PLATNUMZ KUTIKISA SINGIDA MJINI MCHANA HUU
10 years ago
CloudsFM14 Aug
TASWIRA YA MJI WA KAHAMA LEO WAKAZI WA MJI HUO WAJIANDAA NA FIESTA
Taswira ya mji wa Kahama leo hii,wakazi wa mji huo wajiandaa na tamasha la #Serengetifiesta2014 Jumapili hii pande za Kahama Stadium kwa mtonyo wa buku tano tu.#Nisheedah.
10 years ago
VijimamboWAJUMBE WA KAMATI KUU WAKIJIANDAA NA KIKAO MJINI DODOMA MUDA HUU
9 years ago
MichuziMAGUFULI ATIKISA MJI MDOGO WA KATORO MCHANA HUU MKOANI GEITA
10 years ago
CloudsFM02 Oct
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Camera ya MOblog yamulika wakazi wa mji wa Singida wakifuatilia hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA
Baadhi ya wakazi wa mji wa Singida ,wakifuatilia kwa makini hutoba ya mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe, wakati akihutubia Watanzania kupitia kituo cha televisheni cha ITV jana kwenye mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama hicho cha upinzani.(Picha na Nathaniel Limu).
11 years ago
GPLHII IMETOKEA MCHANA HUU ENEO LA MANZESE DARAJANI JIJINI DAR
10 years ago
MichuziWAKAZI WA SINGIDA WAKUNWA NA UPENDO WA TAMASHA LA FIESTA,KESHO JUMAPILI KURINDIMA MJINI DODOMA