Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uzinduzi wa Matangazo ya Televisheni ya Dijitali kwenye Manispaa ya Mji wa Kahama

Muonekano wa mtambo wa kurusha matangazo ya televisheni ya Dijitali uliosimikwa ardhini kwenye mlima wa Igalilimi uliopo mji wa Kahama. Kampeni ya Elimu kwa Umma kwa wakazi wa mji wa Kahama imefanyika na kukamilika kwa kufanya uzinduzi rasmi wa matangazo mwishoni mwa Mwezi Mei, 2014. Picha na taarifa na Prisca Ulomi, Msemaji wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tamu, chungu ya kuhamia mfumo wa matangazo ya dijitali

Tanzania jana imeungana na jumuiya ya kimataifa kuadhimisha uzimaji rasmi wa mfumo wa matangazo ya analojia, huku ikiwa ni miongoni mwa nchi za kwanza katika nchi zilizo kusini ya Jangwa la Sahara.

 

10 years ago

CloudsFM

TASWIRA YA MJI WA KAHAMA LEO WAKAZI WA MJI HUO WAJIANDAA NA FIESTA

Taswira ya mji wa Kahama leo hii,wakazi wa mji huo wajiandaa na tamasha la #Serengetifiesta2014 Jumapili hii pande za Kahama Stadium kwa mtonyo wa buku tano tu.#Nisheedah.

 

9 years ago

Mwananchi

Chadema, CCM wachuana matangazo ya televisheni

Vyama vya Chadema na CCM vimeingia katika mchuano wa kuwania nafasi ya kurusha matangazo ya moja kwa moja ya kampeni za wagombea urais katika televisheni Jumamosi hii.

 

10 years ago

Michuzi

huduma mpya ya TTCL ya kupata matangazo ya Televisheni kwa njia ya internet

Ofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania Bw. Karim Bablia aelezea huduma mpya ya TTCL ya kupata matangazo ya Televisheni kwa njia ya internet katika banda lao kwenye maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam Juni 30, 2015

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA RASMI MATANGAZO YA TELEVISHENI YA MFUMO WA ANALOJIA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akibofya kitufye cha Lap Top kuashiria kufunga rasmi Matangazo ya Televisheni ya Analojia, baada ya kufikia ukomo rasmi hii leo Juni 17, 2015 baada ya kufanikiwa kuzima mitambo ya Analojia kwa nchi nzima. Sherehe hizo za ukomo zimefanyika leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...

 

11 years ago

Michuzi

kili music tour yatikisa mji wa kahama

 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ay akiwapa burudani ya aina yake wakazi wa mji wa Kahama wakati wa Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.  Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, MwanaFA akiwachezesha bila kukunja goti wakazi wa mji wa Kahama wakati wa Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi . Tamasha hili...

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA TAWI LA BENKI YA DTB -KAHAMA

Mehboob Champsi, Mwenyekiti wa bodi, DTB, Kwa upande wake Afisa mtendaji mkuu wa benki hiyo, Bi. Nasim devji ambaye pia alizaliwa wa mji wa kahama, amesema benki hiyo ina matawi 110 na imepanga kupanua huduma zake ndani na nje ya nchi na kwamba kwa hivi sasa inahudumia nchi za kenya, uganda burundi na Tanzania.Bi Nasim devji Akitoa ngao kwa mfanyakazi wa DTB BankMeneja wa tawi la DTB Bank kahama tawila kahama Mercy Stephen akipokea ngao ya kuwa meneja wa kwanza kwa tawi la kahama Afisa...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AUTEKA MJI WA KAHAMA,AAHIDI KUSHUGHULIKIA MIGOGORO YA MADEREVA

Maelfu ya Wakazi wa Mji wa Kahama na Vitongoji vyake wakimsikiliza  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akimwaga sera zake na kujinadi kwa kuwaomba wampigie kura ya ndio asubuhi na mapema Oktoba 25 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu,ili aibuke mshindi na kupata ridhaa ya kuwaongoza Watanzania katika awamu ya tano.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli...

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AUTEKA MJI WA KAHAMA, AAHIDI KUSHUGHULIKIA MIGOGORO YA MADEREVA




Maelfu ya Wakazi wa Mji wa Kahama na Vitongoji vyake wakimsikiliza  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akimwaga sera zake na kujinadi kwa kuwaomba wampigie kura ya ndio asubuhi na mapema Oktoba 25 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu,ili aibuke mshindi na kupata ridhaa ya kuwaongoza Watanzania katika awamu ya tano.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani