Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZINDUZI WA TAWI LA BENKI YA DTB -KAHAMA

Mehboob Champsi, Mwenyekiti wa bodi, DTB, Kwa upande wake Afisa mtendaji mkuu wa benki hiyo, Bi. Nasim devji ambaye pia alizaliwa wa mji wa kahama, amesema benki hiyo ina matawi 110 na imepanga kupanua huduma zake ndani na nje ya nchi na kwamba kwa hivi sasa inahudumia nchi za kenya, uganda burundi na Tanzania.Bi Nasim devji Akitoa ngao kwa mfanyakazi wa DTB BankMeneja wa tawi la DTB Bank kahama tawila kahama Mercy Stephen akipokea ngao ya kuwa meneja wa kwanza kwa tawi la kahama Afisa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

DTB opens 23rd branch in Tanzania with Kahama outlet

The Diamond Trust Bank Tanzania Limited (DTBT) yesterday opened its newest branch in the country in a move meant to see the financial institution getting closer to its growing number of clients in the town and Shinyanga Region as a whole.

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA DTB YAFUTARISHA WADAU WAO ZENJ

Meneja wa Diamond Trust Benk Tawi la Zanzibar Ndg Othman Juhudi akizungumza na Wateja wa DTB na Wananchi waliohudhuria hafla hiyo ya futari maalum walioandaliwa wateja wao katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.Mwenyekiti wa Bodi ya Diamond Trust Mahboob Shamsi akitowa maelezo ya huduma za Benki yao kwa Watajea wao waliohudhuria hafla maalum ya futari waliowaandalia katika viwanja vya Hoteli ya Serena Shangani Zanzibar. Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmed...

 

9 years ago

Dewji Blog

Benki ya DTB Tanzania yauza hisa zenye thamani ya Shilingi Bilioni 30!

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Diamond Trust (DTB), Viju Cherian (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Hoteli ya Serena Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu benki hiyo kuuza hisa zenye thamani ya sh. bilioni 30 na kusherehekea miaka 70 ya uwepo wake tangu ianzishwe hapa nchini. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa benki hiyo, Joseph Mabusi.  Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa benki hiyo, Joseph Mabusi (kulia), akizungumzia mafanikio mbalimbali  na...

 

9 years ago

Michuzi

EFM NA BENKI YA DTB KUFANYA USAFI DESEMA 9 MWAKA HUU JIJINI DAR ES SALAAM

 Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa Efm Radio, Denis Ssebo akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya wasanii zaidi ya 50 wa Bongo Movie akiwamo Steve Nyerere, Wema Sepetu na Vicent Kigosi (Rey) wataungana na kituo cha redio cha EFM na Benki ya DTB kufanya usafi Desema 9 mwaka huu. Usafi huo utaanzia katika barabara ya Morocco hadi Magomeni, mkutano huo umefanyika leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkuu wa Bidhaa na Masoko wa benki ya Diamond Trust Bank (DTB), Sylvester...

 

10 years ago

GPL

YANGA SC YAFUNGUA TAWI LA WANACHAMA KAHAMA

Kocha Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo akizindua tawi jipya la timu hiyo leo. (Picha na Yanga SC) UONGOZI wa Klabu ya Young Africans uliopo na timu mjini Kahama, leo umefungua tawi la wanachama lenye jumla ya wanachama mia tatu (300) na kuhudhuriwa na wapenzi, washabiki na wadau lukuki. Mkuu wa msafara, Mohamed Bhinda alimkaribisha kocha mkuu wa timu hiyo, Marcio Maximo kuzindua tawi hilo mara baada ya mazoezi ya asubuhi akiwa...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Diamond Trust (DTB) yatangaza mafanikio yake makubwa kwa nusu mwaka wa 2014

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Diamond Trust (DTB),Bwa.Viju Cherian akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani),Mapema leo ndani ya moja ya ukumbi wa mikutano Serena Hotel jijini Dar kuhusiana na ripoti ya nusu mwaka wa 2014 kuhusu utendaji wa benki hiyo kwa ongezeko kubwa la faida kabla yakodi (profit before Tax (PBT) ya sh.billioni 10.3 ikiwa ni  asilimia 38 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka 2013 sambamba na mafanikio makubwa iliyoyapata benki hiyo.
Bwa.Viju alisema...

 

11 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa Matangazo ya Televisheni ya Dijitali kwenye Manispaa ya Mji wa Kahama

Muonekano wa mtambo wa kurusha matangazo ya televisheni ya Dijitali uliosimikwa ardhini kwenye mlima wa Igalilimi uliopo mji wa Kahama. Kampeni ya Elimu kwa Umma kwa wakazi wa mji wa Kahama imefanyika na kukamilika kwa kufanya uzinduzi rasmi wa matangazo mwishoni mwa Mwezi Mei, 2014. Picha na taarifa na Prisca Ulomi, Msemaji wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia

 

11 years ago

Mwananchi

Benki ya Exim yafungua tawi

Benki ya Exim imezindua tawi mkoani Arusha kwa ajili ya huduma kwa wateja wakubwa ndani ya mkoa huo na maeneo ya jirani.

 

11 years ago

GPL

BENKI YA BARCLAYS TAWI LA KINONDONI YAVAMIWA NA MAJAMBAZI

Watu wasiojulikana wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia benki ya Barclays tawi la Kinondoni na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake haijajulikana mara moja. Tukio hilo limetokea muda huu saa nne , katika tawi la benki hiyo iliyopo Kinondoni eneo la Bakwata likihusisha watu watatu waliokuwa na pikipiki mmoja wao akiwa na bastola.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani