Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA SC YAFUNGUA TAWI LA WANACHAMA KAHAMA

Kocha Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo akizindua tawi jipya la timu hiyo leo. (Picha na Yanga SC) UONGOZI wa Klabu ya Young Africans uliopo na timu mjini Kahama, leo umefungua tawi la wanachama lenye jumla ya wanachama mia tatu (300) na kuhudhuriwa na wapenzi, washabiki na wadau lukuki. Mkuu wa msafara, Mohamed Bhinda alimkaribisha kocha mkuu wa timu hiyo, Marcio Maximo kuzindua tawi hilo mara baada ya mazoezi ya asubuhi akiwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Idd awapongeza Viongozi na Wanachama wa CCM wa Tawi la Mafufuni,Bumbini kwa uamuzi wao wa kujenga Tawi jipya la CCM

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi Balozi Seif Ali Iddi amewapongeza Viongozi na Wanachama wa CCM wa Tawi la Mafufuni Jimbo la Bumbwini kwa uamuzi wao wa kujenga Tawi jipya la CCM lenya hadhi ya Chama chenyewe.
Balozi Seif alisema hayo wakati akikabidhi mchango wa Shilingi Milioni moja kwa ajili ya uwezekaji wa Tawi hilo kufuatia ahadi aliyoitoa ya kusaidia harakati za ujenzi wa Jengo hilo mchango alioukabidhi kwa uongozi wa Tawi hilo hapo Ofisini...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Exim yafungua tawi Lumumba

BENKI ya Exim Tanzania imeendelea kutanua wigo kwa wateja wake nchini kwa kufungua tawi jipya mtaa wa Lumumba, jijini Dar es Salaam. Tawi hilo la Ushirika linaongeza idadi ya mtandao...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB yafungua tawi Tabata

BENKI ya NMB imefungua tawi jipya maeneo ya Tabata, Barabara ya Mandela, Dar es Salaam. Ufunguzi wa tawi hilo la 20 jijini hapa  umekuja ili kuongeza wigo wa matawi ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TPB yafungua tawi Kigoma

BENKI ya Posta Tanzania (TPB) imezindua tawi jipya mjini Kigoma katika jengo la Mamlaka ya Mapato (TRA). Akizindua tawi hilo mwishoni mwa wiki, Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Al_Qaeda yafungua tawi India

Kiongozi wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda, Ayman al-Zawahiri amesema wamefungua tawi jipya India.

 

11 years ago

Mwananchi

Benki ya Exim yafungua tawi

Benki ya Exim imezindua tawi mkoani Arusha kwa ajili ya huduma kwa wateja wakubwa ndani ya mkoa huo na maeneo ya jirani.

 

10 years ago

Michuzi

NMB YAFUNGUA RASMI TAWI LA SINGIDA

Benki ya NMB imefungua rasmi tawi lake jipya la Singida. Tawi hilo litakuwa na huduma zote za kibenki kama yalivyo matawi mengine ya NMB nchini kote. Tawi hili limefunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mh. Dk. Perseko Vincent Kone.  Mkuu wa Mkoa wa Singida- Mh. Dk. Perseko Vincent Kone (kati) akikata utepe kuzindua rasmi tawi la Singida, kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Kati Bw. Ole Loibanguti na Meneja wa NMB tawi la Singida- Bi. Christine Mwangoma.
Kufunguliwa kwa tawi la Singida sasa...

 

10 years ago

Michuzi

NMB Yafungua Tawi maalumu Oysterbay

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meki Sadiki akiweka jiwe la msingi kwaajili ya uzinduzi rasmi wa tawi jipya na la kisasa la NMB Oysterplaza lililopo Oysterplaza jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NMB – Tom Borghols huku meneja wa tawi hilo Donatus Richard akishuhudia. Tawi la NMB Oysterplaza ni maalumu kwa wateja wakubwa na wa kati.Kufunguliwa kwa tawi hilo kunafanya mkoa wa Dar es salaam kufikisha matawi 26 ya NMB.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meki Sadiki akikata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani