BENKI YA BARCLAYS TAWI LA KINONDONI YAVAMIWA NA MAJAMBAZI
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
Watu wasiojulikana wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia benki ya Barclays tawi la Kinondoni na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake haijajulikana mara moja. Tukio hilo limetokea muda huu saa nne , katika tawi la benki hiyo iliyopo Kinondoni eneo la Bakwata likihusisha watu watatu waliokuwa na pikipiki mmoja wao akiwa na bastola.
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo16 Apr
Majambazi yapora fuko la fedha Benki ya Barclays
MAJAMBAZI wenye silaha wamepora fedha zinazokisiwa kufikia Sh milioni 300 katika Benki ya Barclays tawi la Kinondoni `TX Market’ jijini Dar es Salaam.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XkRrFz4ymKkXjxb27jdW9-WzoyL7yA*Y7peCKPAb2H2JR3fwK9uuCypElmYME7-lLZWdRrIF9Dp6uj4baq77HO*PZZZPiKy1/WEZI5.jpg?width=640)
MAJAMBAZI WAKAMATWA WAKITAKA KUIBA KATIKA BENKI YA NMB TAWI LA SINZA-MORI, DAR
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Nyumba ya Big Sean yavamiwa na majambazi
LOS ANGELES, MAREKANI
WIKI iliyopita ilikuwa ngumu kwa msanii wa muziki nchini Marekani, Big Sean, baada ya nyumba yake kuvamiwa na watu wasiojulikana.
Wakati wa tukio hilo la uvamizi msanii huyo hakuwepo nchini Marekani ambapo watu hao walifanikiwa kuchukua vitu mbalimbali vikiwamo pamoja na cheni za dhahabu na kompyuta ambayo ilikuwa na nyimbo zake mpya.
Msanii huyo amesema baada ya kupiga hesabu ya vitu ambavyo vimepotea kutokana na wizi huo thamani yake imefikia zaidi ya milioni...
10 years ago
Mtanzania05 Sep
Meneja Barclays adaiwa kuwasiliana na majambazi kupanga wizi
![Benki ya Barclays](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/majambazi-barclays.jpg)
Benki ya Barclays
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
MENEJA wa Benki ya Barclays Tawi la Kinondoni, Alune Kasilika, amedaiwa kuwa aliwasiliana na watuhumiwa wa tukio la ujambazi katika benki hiyo wakiandaa utekelezaji wake.
Hayo yalidaiwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Wakili wa Serikali, Janeth Kitali, mbele ya Hakimu Mkazi Nyigulile Mwaseba, wakati akiwasomea washtakiwa maelezo ya awali.
Kitali alidai siku ya tukio Aprili 14, mwaka huu, mshtakiwa Alune na Neema Batchu ambao ni...
11 years ago
TheCitizen16 Apr
Barclays close Kinondoni branch over brazen robbery
10 years ago
MichuziBENKI YA BARCLAYS YAZINDUA KADI YA ATM DOLA
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Wezi waiba benki ya Barclays Dar kweupe
11 years ago
Mwananchi03 May
Watuhumiwa wa wizi wa Benki ya Barclays wafikishwa kortini
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-XKKhlyPEnrw/U2THzgDMh3I/AAAAAAAFfCM/wy2YRfaHPlE/s72-c/majambazi+(1).jpg)
SABA KIZIMBANI KWA WIZI KATIKA BENKI YA BARCLAYS
![](http://2.bp.blogspot.com/-XKKhlyPEnrw/U2THzgDMh3I/AAAAAAAFfCM/wy2YRfaHPlE/s1600/majambazi+(1).jpg)
Washtakiwa hao ni Alune Kasililika (38), Neema Batchu (26) wafanyakazi wa benk hiyo, Kakame Julius (38), Iddy Khamis (32), Sezary Msolopa (31), Boniphace Muumba (29) na Ruth Macha (30) wafanyabiashara.
Wakisomewa mashitaka yao mbele ya...