Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SABA KIZIMBANI KWA WIZI KATIKA BENKI YA BARCLAYS

WATU saba wakiwemo wafanyakazi wawili wanawake wa benki ya  Barclays wamepandishwa  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la kula njama na unyang'anyi wa kutumia silaha pamoja na wiza wa sh milioni 390.2 , dola za kimarekani 55,000 na Euro 2150.
Washtakiwa hao ni Alune Kasililika (38), Neema Batchu (26) wafanyakazi wa benk hiyo, Kakame Julius (38), Iddy Khamis (32), Sezary Msolopa (31), Boniphace Muumba (29) na Ruth Macha (30) wafanyabiashara.
Wakisomewa mashitaka yao mbele ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MTUMISHI WA BENKI YA BOA KIZIMBANI AKIKABILIWA NA MASHTAKA SABA YA WIZI, UTAKATISHAJI FEDHA


Na Karama Kenyunko Michuzi TV MTUMISHI benki ya Boa, Nahami Mwaipyana, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka saba ya wizi akiwa Mtumishi na shtaka moja la utakatishaji wa fedha wa zaidi ya USD 35 elfu na Tsh. Milioni mbili.
Akisoma hati ya mashtaka, wakili wa serikali Mwandamizi Anna Chimpaye amedai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kuwa mshtakiwa ametenda makosa ya wizi akiwa mtumishi katika tarehe tofauti tofauti kuanzia Januari 2017 hadi Novemba...

 

11 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa wa wizi wa Benki ya Barclays wafikishwa kortini

>Watu saba wakiwamo mameneja wawili wa Benki ya Barclays wamefikishwa katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka  ya wizi wa zaidi ya Sh479 milioni mali ya benki hiyo.

 

9 years ago

Michuzi

BARCLAYS YATOA HUNDI YA ASILIMIA 100 KWA MTEJA KUPITISHA MSHAHARA KATIKA BENKI HIYO


Meneja wa kitengo cha Bidhaa –Wateja wa Rejareja wa Benki ya Barclays,Valence Ruteganya akizungumza na waandishi wa habari juu ya kampeni ya wateja kupata asilimia 100 ya mshahara kwa kupita katika akaunti ya benki ya Baclays katika hafla ya kumkabidhi mteja aliyepitisha mshahara wake na kupata asilimia 10 iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam,kushoto Meneja wa Kanda ya Namba Moja,Kitumari Massawe kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa –Wateja wa Rejareja,Oscar Mwamfwagasi.
Meneja wa...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA DCB YAWAPA KIPAUMBELE WA WAJASIRIMALI KATIKA MAONESHO YA SABA SABA

Baadhi ya wateja wakiwa katika banda la wajasiriamali walionufaika na huduma za kibenki na  DCB katika meonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere. Afisa Mauzo wa Benki ya DCB,Tatu Shija( katikati) akiwa na wajasiriamali walionufaika na huduma za kibenki na  DCB wakinyesha bidhaa zao  katika meonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere. Afisa Mauzo wa Benki ya DCB, Rashid Ngwali (amenyosha mkono) akitoa maelezo kwa wananchi...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM KATIKA MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA SABA SABA

  Meneja wa Biashara Kubwa na Uwekezaji wa kibenki wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin Wambali (Kushoto) akiwaelezea wateja watarajiwa juu ya huduma zitolewazo na benki hiyo walipotembelea banda la benki hiyo katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam ya Saba Saba. Wapili kushoto ni Afisa Mauzo, Irene Joachim na Afisa Uhusiano, Cosmas Nade (watatu kushoto).Meneja wa Biashara Kubwa na Uwekezaji wa kibenki wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin Wambali (Kushoto) akimpa...

 

11 years ago

Habarileo

Mfanyakazi Barclays kizimbani kwa rushwa

MFANYAKAZI wa Benki ya Barclays, katika kitengo cha Mawasiliano na Huduma za Jamii, Tunu Kavishe (33) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala jijini Dar es Salaam kujibu mashitaka ya kushawishi na kupokea rushwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Vigogo Barclays mbaroni kwa wizi wa fedha

>Hatimaye Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetoa taarifa ya wizi uliotokea katika Benki ya Barclays, Tawi la Kinondoni Aprili 15, mwaka huu, likisema tukio hilo lilipangwa ndani ya benki hiyo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Benki ya Barclays yatoa somo la ajira kwa wanafunzi wa UDBS

01

Meneja Rasilimali Watu wa Benki ya Barclays Tanzania, Anna Chacha (kulia) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) jana kuhusu fursa mbalimbali za ajira ndani ya benki hiyo na pia nini wafanye ili kuweza kumudu ushindani katika soko la ajira ndani ya sekta za kibenki.   02 Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Barclays Tanzania, Neema-Rose Singo (kushoto) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar...

 

5 years ago

Michuzi

Vijana saba kizimbani kwa kulawitiana

 Mshtakiwa Nkinda Shekalage anayedaiwa kuwaingilia vijana sita  akiwa katika ukumbi wa wazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  akisubiri kusomewa mashtaka yake.
Vijana  saba wakazi wa jijini Dar es Salaam wakiwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo wakikabiliwa na mashtaka 12 ya vitendo vya kuingiliana kinyume na maumbile (kulawitiana)  
Na Karama Kenyunko globu ya jamii. VIJANA saba wakazi wa jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani