Meneja Barclays adaiwa kuwasiliana na majambazi kupanga wizi
Benki ya Barclays
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
MENEJA wa Benki ya Barclays Tawi la Kinondoni, Alune Kasilika, amedaiwa kuwa aliwasiliana na watuhumiwa wa tukio la ujambazi katika benki hiyo wakiandaa utekelezaji wake.
Hayo yalidaiwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Wakili wa Serikali, Janeth Kitali, mbele ya Hakimu Mkazi Nyigulile Mwaseba, wakati akiwasomea washtakiwa maelezo ya awali.
Kitali alidai siku ya tukio Aprili 14, mwaka huu, mshtakiwa Alune na Neema Batchu ambao ni...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Polisi: Meneja Barclays alipanga wizi
MENEJA wa Benki ya Barclays Tawi la Kinondoni, Alune Kasililika (28), anadaiwa kuchonga mpango wa majambazi kuvamia na kisha kupora kiasi kikubwa cha fedha katika tawi hilo. Katika tukio hilo...
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Kinara wa wizi Barclays atajwa
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemtaja Ronald Mollel (37) mkazi wa Kimara Bonyokwa kuwa ndiye kinara wa wizi uliofanyika Aprili 15 mwaka huu katika Benki ya...
11 years ago
Habarileo16 Apr
Majambazi yapora fuko la fedha Benki ya Barclays
MAJAMBAZI wenye silaha wamepora fedha zinazokisiwa kufikia Sh milioni 300 katika Benki ya Barclays tawi la Kinondoni `TX Market’ jijini Dar es Salaam.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
BENKI YA BARCLAYS TAWI LA KINONDONI YAVAMIWA NA MAJAMBAZI
11 years ago
Mwananchi29 Apr
Vigogo Barclays mbaroni kwa wizi wa fedha
11 years ago
Mwananchi03 May
Watuhumiwa wa wizi wa Benki ya Barclays wafikishwa kortini
11 years ago
Habarileo03 May
Mameneja Barclays kortini wizi wa mil.479/-
WATU saba wakiwemo mameneja wawili wa Benki ya Barclays, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya wizi wa zaidi ya Sh milioni 479 katika benki hiyo.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-XKKhlyPEnrw/U2THzgDMh3I/AAAAAAAFfCM/wy2YRfaHPlE/s72-c/majambazi+(1).jpg)
SABA KIZIMBANI KWA WIZI KATIKA BENKI YA BARCLAYS
![](http://2.bp.blogspot.com/-XKKhlyPEnrw/U2THzgDMh3I/AAAAAAAFfCM/wy2YRfaHPlE/s1600/majambazi+(1).jpg)
Washtakiwa hao ni Alune Kasililika (38), Neema Batchu (26) wafanyakazi wa benk hiyo, Kakame Julius (38), Iddy Khamis (32), Sezary Msolopa (31), Boniphace Muumba (29) na Ruth Macha (30) wafanyabiashara.
Wakisomewa mashitaka yao mbele ya...
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Majambazi wampora meneja Kampuni ya Olam Sh47 milioni