Mameneja Barclays kortini wizi wa mil.479/-
WATU saba wakiwemo mameneja wawili wa Benki ya Barclays, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya wizi wa zaidi ya Sh milioni 479 katika benki hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi03 May
Watuhumiwa wa wizi wa Benki ya Barclays wafikishwa kortini
10 years ago
Habarileo02 Jul
Kortini kwa wizi wa mil 37.5/-
MFANYABIASHARA Ally Salehe (37) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya wizi akiwa mtumishi.
11 years ago
Habarileo29 Apr
Mameneja Barclays mbaroni
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inawashikilia watuhumiwa 13, wakiwamo mameneja wawili wa Benki ya Barclays kwa tuhuma za kuhusika na wizi katika benki hiyo katika tawi la Kinondoni. Mameneja hao ni Alune Kasililika maarufu kama Mollel (28), mkazi wa Kimara Bonyokwa ambaye ni Meneja wa tawi hilo na Neema Bandari maarufu kama Bachu (28) ambaye ni Meneja Operesheni wa tawi hilo.
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Kinara wa wizi Barclays atajwa
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemtaja Ronald Mollel (37) mkazi wa Kimara Bonyokwa kuwa ndiye kinara wa wizi uliofanyika Aprili 15 mwaka huu katika Benki ya...
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Polisi: Meneja Barclays alipanga wizi
MENEJA wa Benki ya Barclays Tawi la Kinondoni, Alune Kasililika (28), anadaiwa kuchonga mpango wa majambazi kuvamia na kisha kupora kiasi kikubwa cha fedha katika tawi hilo. Katika tukio hilo...
11 years ago
Mwananchi29 Apr
Vigogo Barclays mbaroni kwa wizi wa fedha
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-XKKhlyPEnrw/U2THzgDMh3I/AAAAAAAFfCM/wy2YRfaHPlE/s72-c/majambazi+(1).jpg)
SABA KIZIMBANI KWA WIZI KATIKA BENKI YA BARCLAYS
![](http://2.bp.blogspot.com/-XKKhlyPEnrw/U2THzgDMh3I/AAAAAAAFfCM/wy2YRfaHPlE/s1600/majambazi+(1).jpg)
Washtakiwa hao ni Alune Kasililika (38), Neema Batchu (26) wafanyakazi wa benk hiyo, Kakame Julius (38), Iddy Khamis (32), Sezary Msolopa (31), Boniphace Muumba (29) na Ruth Macha (30) wafanyabiashara.
Wakisomewa mashitaka yao mbele ya...
10 years ago
Mtanzania05 Sep
Meneja Barclays adaiwa kuwasiliana na majambazi kupanga wizi
![Benki ya Barclays](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/majambazi-barclays.jpg)
Benki ya Barclays
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
MENEJA wa Benki ya Barclays Tawi la Kinondoni, Alune Kasilika, amedaiwa kuwa aliwasiliana na watuhumiwa wa tukio la ujambazi katika benki hiyo wakiandaa utekelezaji wake.
Hayo yalidaiwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Wakili wa Serikali, Janeth Kitali, mbele ya Hakimu Mkazi Nyigulile Mwaseba, wakati akiwasomea washtakiwa maelezo ya awali.
Kitali alidai siku ya tukio Aprili 14, mwaka huu, mshtakiwa Alune na Neema Batchu ambao ni...
11 years ago
Habarileo10 Jun
Kortini wizi wa gari la milioni 60/-
WATU wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala kujibu mashitaka mawili, ya wizi wa gari lenye thamani ya Sh milioni 60 na kulinda mali iliyoibwa.