Kortini wizi wa gari la milioni 60/-
WATU wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala kujibu mashitaka mawili, ya wizi wa gari lenye thamani ya Sh milioni 60 na kulinda mali iliyoibwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo02 Jul
Kortini kwa wizi wa mil 37.5/-
MFANYABIASHARA Ally Salehe (37) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya wizi akiwa mtumishi.
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Mar
Kortini kwa wizi, utakatishaji fedha
NA FURAHA OMARY
MFANYAKAZI wa Benki ya CRDB, Telesphory Gura (43), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kumwibia mwajiri wake sh. milioni 241 na kutakatisha fedha haramu.
Gura, mkazi wa Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam, alifikishwa mahakamani hapo jana na kupandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Mkazi Frank Moshi.
Wakili wa Serikali, Genes Tesha, alimsomea Gura mashitaka matano ya wizi wa sh. 241,163,668 na ya kutakatisha fedha zaidi ya sh....
10 years ago
Habarileo07 Sep
Diwani kortini akituhumiwa kwa wizi
ALIYEWAHI kuwa Diwani Kata ya Utemini mjini Singida, Charles Masinga amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida kwa tuhuma za kumwibia mwajiri wake bidhaa mbalimbali zenye thamani ya Sh milioni 60.
11 years ago
Mwananchi03 May
Watuhumiwa wa wizi wa Benki ya Barclays wafikishwa kortini
11 years ago
Habarileo03 May
Mameneja Barclays kortini wizi wa mil.479/-
WATU saba wakiwemo mameneja wawili wa Benki ya Barclays, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya wizi wa zaidi ya Sh milioni 479 katika benki hiyo.
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Mtumishi NMB kortini kwa wizi wa Sh1 bilioni
10 years ago
Habarileo13 Jun
Mkenya, Mrundi jela kwa wizi wa gari, mafuta
RAIA wa Kenya na mwingine wa Burundi waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa gari na mafuta ya petroli wamehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja kila mmoja, huku Watanzania watatu wakiachiwa huru kwa kukosekana ushahidi.
10 years ago
GPLKIBAKA ALA KICHAPO KWA WIZI WA TAA ZA GARI UPANGA, DAR
10 years ago
Habarileo18 Nov
Sita mbaroni wizi wa milioni 500/-Stanbic
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watu sita wakiwemo raia wawili wa Kenya, baada ya kukiri kuhusika na wizi wa fedha zaidi ya Sh milioni 500 zilizoibwa Oktoba 23 mwaka huu katika Benki ya Stanbic, tawi la Mayfair, Kinondoni.