Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtumishi NMB kortini kwa wizi wa Sh1 bilioni

Mtumishi wa Benki ya NMB, Mtoro Suleiman na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 13 yakiwamo ya kuiibia benki hiyo zaidi ya Sh1 bilioni na kutakatisha fedha haramu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Vigogo kortini kwa upotevu wa Sh1.3 bilioni

Watuhumiwa sita katika kashfa ya upotevu wa zaidi ya Sh1.3 bilioni kati ya Sh1.5 bilioni zilizotolewa na Wizara ya Chakula, Kilimo na Ushirika kwa ajili ya usambazaji wa pembejeo za kilimo wilayani hapa juzi walipandishwa kizimbani kujibu tuhuma hizo.

 

11 years ago

Habarileo

Mtumishi wa NMB Songea ajinyonga kwa shuka gesti

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Engelbert KiondoWATU wawili wamekufa katika matukio mawili tofauti ya kujinyonga, akiwemo mfanyakazi wa benki ya NMB Tawi la Songea, Wilhelim Swai (37) ambaye amejinyonga kwa kutumia shuka katika nyumba ya kulala wageni.

 

10 years ago

Habarileo

Kortini kwa wizi wa mil 37.5/-

PinguMFANYABIASHARA Ally Salehe (37) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya wizi akiwa mtumishi.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kortini kwa wizi, utakatishaji fedha



NA FURAHA OMARY
MFANYAKAZI wa Benki ya CRDB, Telesphory Gura (43), amefikishwa  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kumwibia mwajiri wake sh. milioni 241 na kutakatisha fedha haramu.
Gura, mkazi wa Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam, alifikishwa mahakamani hapo jana na kupandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Mkazi Frank Moshi.
Wakili wa Serikali, Genes Tesha, alimsomea Gura mashitaka matano ya wizi wa sh. 241,163,668 na ya kutakatisha fedha zaidi ya sh....

 

10 years ago

Habarileo

Diwani kortini akituhumiwa kwa wizi

ALIYEWAHI kuwa Diwani Kata ya Utemini mjini Singida, Charles Masinga amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida kwa tuhuma za kumwibia mwajiri wake bidhaa mbalimbali zenye thamani ya Sh milioni 60.

 

5 years ago

Michuzi

MTUMISHI WA BENKI YA BOA KIZIMBANI AKIKABILIWA NA MASHTAKA SABA YA WIZI, UTAKATISHAJI FEDHA


Na Karama Kenyunko Michuzi TV MTUMISHI benki ya Boa, Nahami Mwaipyana, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka saba ya wizi akiwa Mtumishi na shtaka moja la utakatishaji wa fedha wa zaidi ya USD 35 elfu na Tsh. Milioni mbili.
Akisoma hati ya mashtaka, wakili wa serikali Mwandamizi Anna Chimpaye amedai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kuwa mshtakiwa ametenda makosa ya wizi akiwa mtumishi katika tarehe tofauti tofauti kuanzia Januari 2017 hadi Novemba...

 

10 years ago

Michuzi

NMB Yaidhinisha Shilingi Bilioni 52 kama gawio kwa wanahisa wake

Benki ya NMB imeidhinisha shilingi Bilioni 52 kama gawio kwa wanahisa wake ikiwa ni sehemu ya faida iliyopatikana kwa mwaka 2014.Gawio hilo ni sawa na Shilingi 104 kwa kila hisa moja na ikiwa ni ongezeko la asilimia 16 kutoka gawio la mwaka jana.
Gawio hilo ni kutokana na faida ya shilingi Bilioni 156 baada ya kodi iliyopatikana kwa mwaka 2014. Faida hiyo na gawio lililoidhinishwa ni Faraja kwa wanahisa wanaojivunia benki bora yenya matawi mengi kuliko benki yoyote Tanzania ikiwa na matawi...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya NMB yatoa mkopo wa Shilingi bilioni 3 kwa wakulima wa muhogo Handeni

 Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB – Filbert Mponzi (Pili kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi Bilioni Tatu Mkuu wa Wilaya ya Handeni – Godwin Gondwe maalumu kwa ajili ya vikundi vya wakulima na wasindikaji wa zao la Muhogo Wilayani Handeni Mkoani Tanga. Wengine kwenye picha ni Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) – Japhet Justin (Pili kushoto), Mwenyekiti wa Wakulima wa zao la Mihogo nchini Tanzania, Mwantum Mahiza, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya...

 

5 years ago

Michuzi

NMB yawezesha Kilimo cha katani nchini, yatoa shilingi Bilioni 1 kwa ajili ya matrekta


Waziri Mkuu – Kassim Majaliwa akikabidhi mkopo uliotolewa kwa mkopo na Benki ya NMB wa matrekta  11 na matrela  yake 22 yenye thamani ya sh. Bilioni  moja, kwa Vyama Vinne vya ushirika vya wakulima wa mkonge Mkoani Tanga. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Vyama vya Mkonge mkoani Tanga – Greyson Nyari akionyesha ufunguo wa moja ya matrekta aliyokabidhiwa. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa moja ya matrekta hayo  Greyson  Nyari, Mwenyekiti wa Vyama vya Mkonge  Mkoa wa Tanga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani