Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diwani kortini akituhumiwa kwa wizi

ALIYEWAHI kuwa Diwani Kata ya Utemini mjini Singida, Charles Masinga amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida kwa tuhuma za kumwibia mwajiri wake bidhaa mbalimbali zenye thamani ya Sh milioni 60.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mkazi Dar kortini akituhumiwa ugaidi

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.MKAZI wa Kitunda, Jihad Swalehe amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya Ugaidi na kuomba msaada wa vifaa, fedha na ujuzi wa kulipua mabomu kwa lengo la kuwadhuru watu wa Kenya.

 

10 years ago

Habarileo

Diwani kortini kwa kujeruhi watendaji

DIWANI wa Kata ya Mwangeza katika Wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Petro Mliga (50) pamoja na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Singida wakikabiliwa na shitaka la kupiga na kujeruhi watendaji.

 

10 years ago

Habarileo

Kortini kwa wizi wa mil 37.5/-

PinguMFANYABIASHARA Ally Salehe (37) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya wizi akiwa mtumishi.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kortini kwa wizi, utakatishaji fedha



NA FURAHA OMARY
MFANYAKAZI wa Benki ya CRDB, Telesphory Gura (43), amefikishwa  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kumwibia mwajiri wake sh. milioni 241 na kutakatisha fedha haramu.
Gura, mkazi wa Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam, alifikishwa mahakamani hapo jana na kupandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Mkazi Frank Moshi.
Wakili wa Serikali, Genes Tesha, alimsomea Gura mashitaka matano ya wizi wa sh. 241,163,668 na ya kutakatisha fedha zaidi ya sh....

 

11 years ago

Mwananchi

Mtumishi NMB kortini kwa wizi wa Sh1 bilioni

Mtumishi wa Benki ya NMB, Mtoro Suleiman na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 13 yakiwamo ya kuiibia benki hiyo zaidi ya Sh1 bilioni na kutakatisha fedha haramu.

 

11 years ago

Habarileo

Kortini wizi wa gari la milioni 60/-

WATU wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala kujibu mashitaka mawili, ya wizi wa gari lenye thamani ya Sh milioni 60 na kulinda mali iliyoibwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa wa wizi wa Benki ya Barclays wafikishwa kortini

>Watu saba wakiwamo mameneja wawili wa Benki ya Barclays wamefikishwa katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka  ya wizi wa zaidi ya Sh479 milioni mali ya benki hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Mameneja Barclays kortini wizi wa mil.479/-

WATU saba wakiwemo mameneja wawili wa Benki ya Barclays, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya wizi wa zaidi ya Sh milioni 479 katika benki hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani