Mkazi Dar kortini akituhumiwa ugaidi
MKAZI wa Kitunda, Jihad Swalehe amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya Ugaidi na kuomba msaada wa vifaa, fedha na ujuzi wa kulipua mabomu kwa lengo la kuwadhuru watu wa Kenya.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Watuhumiwa wawili wa ugaidi kortini Dar
Waandishi Wetu, Dar na Tanga
WATU wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakidaiwa kutoa mafunzo ya ugaidi kwa vijana wa Tanzania mkoani Tanga.
Mmoja wao anaelezwa kuwa alikuwa pia akitoa mafunzo ya jeshi kwa kundi la Hizbul al lililotaka kuipindua serikali ya Somalia mwaka 2010.
Washtakiwa hao, Ally Nassoro au Dk. Sule na Juma Zuberi au Kitambi, walifikishwa jana katika mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen Riwa.
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Peter Njike akisoma...
5 years ago
MichuziMKAZI WA JIJINI DAR KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA GRAMU 1523.25
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa na Wakili wa Serikali Janet Magoho leo Juni 26, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate imedai kuwa, Aprili 9, 2011 huko katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu JK Nyerere ndani ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam, mshtakiwa alikutwa akisafirisha...
10 years ago
Habarileo07 Sep
Diwani kortini akituhumiwa kwa wizi
ALIYEWAHI kuwa Diwani Kata ya Utemini mjini Singida, Charles Masinga amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida kwa tuhuma za kumwibia mwajiri wake bidhaa mbalimbali zenye thamani ya Sh milioni 60.
11 years ago
Habarileo18 Jul
17 kortini kwa ugaidi
WATU 17 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kujihusisha na vitendo vya ugaidi.
5 years ago
MichuziMKAZI WA DODOMA AFIKISHWA KORTINI AKIKABILIWA NA MASHTAKA MAWILI LIKIWEMO LA UTAKATISHAJI FEDHA
Mshtakiwa Nachipyangu, amesomewa mashtaka yake leo Juni 10, 2020 Wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo Simon, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Kasian Matembele.
Imedaiwa kuwa, April 24, 2015 huko katika benki ya CRDB tawi la Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, mshtakiwa kwa njia ya udanganyifu alijipatia USD 14,320...
11 years ago
Uhuru Newspaper17 Jul
Watu 17 kortini kwa ugaidi
NA MWANDISHI WETU
WATU 17 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kula njama za kuwaingiza watu nchini kushiriki vitendo vya ugaidi na kusaidia na kuwezesha kufanyika.
Jihad Swalehe, mmoja wa washitakiwa waliofikishwa mahakamani hapo jana saa 7.20 mchana chini ya ulinzi mkali wa polisi, alisomewa mashitaka peke yake ya kula njama za kusaidia na kuwezesha kufanyika vitendo vya kigaidi.
Washitakiwa wengine ni wanaohusika na mashitaka ya kula...
10 years ago
Habarileo21 May
Watuhumiwa 25 wa ugaidi kortini Moro
WATU 25 wanaotuhumiwa kwa vitendo vya ugaidi katika Tarafa ya Kidatu wilayani Kilombero mkoa wa Morogoro, wamepandishwa kizimbani.
11 years ago
Mwananchi03 Aug
UHALIFU: 19 kortini kwa ugaidi
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Kiongozi wa Uamsho kortini kesi ya ugaidi