Vigogo kortini kwa upotevu wa Sh1.3 bilioni
Watuhumiwa sita katika kashfa ya upotevu wa zaidi ya Sh1.3 bilioni kati ya Sh1.5 bilioni zilizotolewa na Wizara ya Chakula, Kilimo na Ushirika kwa ajili ya usambazaji wa pembejeo za kilimo wilayani hapa juzi walipandishwa kizimbani kujibu tuhuma hizo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Mtumishi NMB kortini kwa wizi wa Sh1 bilioni
10 years ago
Habarileo13 May
Polisi 3 kortini kwa upotevu wa SMG 8
ASKARI Polisi watatu wa Kikosi cha Kuzuia Ghasia (FFU) mkoani Tabora, wamefikishwa mahakamani, akiwemo mkuu wa kikosi hicho, Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Bhoke Julius Bruno.
9 years ago
StarTV02 Dec
Tanzania kuanza uchunguzi wa upotevu wa sh. bilioni 13dhidi ya Stanbic
Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza uchunguzi dhidi ya Benki ya Stanbic ya Tanzania na wahusika wa kashfa ya upotevu wa zaidi ya shilingi Bilioni 13 zilizoongezeka kama ada ya benki hiyo ya kukusanya fedha kutoka benki mbalimbali ukiwa ni mkopo ambao Serikali ya Tanzania ilikuwa ikiuhitaji wa Dola Milioni 600 kwa ajili ya miradi ya maendeleo.
Fedha hizo ambazo ni sawa na shilingi Trilioni 1.3 zilikuwa ni mkopo kwa ajili ya miradi hiyo kwa mwaka wa fedha 2012/13 ambapo iliitumia benki hiyo...
5 years ago
Michuzi
Vigogo sita wa Halotel kizimbani kwa utakatishaji na kuisababishia TCRA hasara ya Sh. Bilioni 78.
MKURUGENZI wa Kampuni ya Halotel Son Nguyen (46), na vigogo wengine watano wa Viettel Tanzania wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka 10 yakiwemo ya kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh bilioni 78
Washtakiwa wengine ni Nguyen Minh (40) na Vu Tiep Mameneja wa Halotel, Ha Than (39) Mtaalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) wa Halotel, Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni...
10 years ago
Mwananchi08 Nov
Mbowe: Vigogo CCM wamechota Sh1.2 mradi bomba la gesi
5 years ago
Michuzi
MFANYABIASHARA DAR AFIKISHWA KORTINI KWA KUISABABISHIA TRA HASARA YA SHILINGI BILIONI TATU NA UTAKATISHAJI FEDHA

MFANYABIASHARA wa Jijini Dar es Salaam, Poison Batisha (36), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya Uhujumu yenye mashtaka ya kukwepa kodi, kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hasara ya zaidi ya sh. Bilioni tatu na utakatishaji fedha.
Akisoma hati ya mashtaka wakili wa serikali Janet Magoha amedai Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Janet Mtega kuwa, kati ya Januari Mosi 2012 na May 12, 2020 ndani ya jiji la Dar es Salaam,...
10 years ago
Mwananchi07 Aug
Chenge akiri kupokea Sh1.6 bilioni
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Tarime yaidai Barrick Sh1.2 bilioni
9 years ago
Mwananchi15 Dec
Mitambo ya Sh1.2 bilioni yazua balaa