Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi 3 kortini kwa upotevu wa SMG 8

ASKARI Polisi watatu wa Kikosi cha Kuzuia Ghasia (FFU) mkoani Tabora, wamefikishwa mahakamani, akiwemo mkuu wa kikosi hicho, Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Bhoke Julius Bruno.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Vigogo kortini kwa upotevu wa Sh1.3 bilioni

Watuhumiwa sita katika kashfa ya upotevu wa zaidi ya Sh1.3 bilioni kati ya Sh1.5 bilioni zilizotolewa na Wizara ya Chakula, Kilimo na Ushirika kwa ajili ya usambazaji wa pembejeo za kilimo wilayani hapa juzi walipandishwa kizimbani kujibu tuhuma hizo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi yawazawadia waliokamata SMG

JESHI la Polisi mkoani Shinyanga limetoa zawadi kwa wananchi pamoja na Sungungu katika kata za Segese na Lunguya, wilayani Kahama baada ya kufanikisha kukamatwa kwa watu watatu wanaosadikiwa kuwa ni...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WASALIMISHA SMG 2 POLISI

kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Lineratus Sabas aakionyesho moja ya silaha ambazo zimesalimishwa  na wananchi


Jeshi la polisi mkoani Arusha limefanikiwa  kupata silaha mbili aina ya SMG ambazo  zilisalimishwa na wananchi katika mbili tofauti  huko wilayani ngorongoro.


Akiongea na waandishi wa habari kamanda wa polisi mkoani Arusha Lineratus Sabas  alisema kuwa Silaha hizo zilisalimishwa na wananchi katika siku tofa uti tofauti ambapo alisema kuwa silaha ya kwanza ilisalimishwa September...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kortini kwa mauaji ya Polisi Tabora

WATU saba wamefikishwa katika Mahakama Mkoa wa Tabora wakikabiliwa na tuhuma za mauaji ya askari polisi wawili wa Kituo cha Polisi Ussoko, Wilaya ya Urambo. Waliofikishwa mahakamani hapo jana ni...

 

10 years ago

Habarileo

5 kortini kwa kumdhalilisha askari polisi

WAFANYABIASHARA watatu na wanachuo watano wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida wakikabiliwa na mashitaka ya kumdhalilisha kupindukia askari polisi wa kike na kumsababishia maumivu makali mwilini.

 

9 years ago

Habarileo

Msigwa, wenzake kortini kwa kujeruhi polisi

MGOMBEA Ubunge jimbo la Iringa Mjini kupitia Chadema, Mchungaji Peter Msigwa na wenzake watatu, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Iringa wakituhumiwa kushambulia na kujeruhi askari polisi wawili.

 

9 years ago

Mwananchi

Kortini kwa mauaji ya polisi na raia Stakishari

Idadi ya washtakiwa waliofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka saba ya mauaji ya maofisa wanne wa polisi na raia watatu katika kituo cha jeshi hilo cha Stakishari, imeongezeka hadi kufikia 10.

 

10 years ago

Mwananchi

Anayedaiwa kuua polisi Bukombe, akamatwa na SMG sita, mabomu 11

Siku moja baada ya kituo cha polisi cha Wilaya ya Bukombe mkoani Geita kuvamiwa na majambazi wakiwa na silaha na kuua polisi wawili, Jeshi la Polisi limemtia mbaroni mtu mmoja akidaiwa kuhusika katika tukio hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

Majambazi yateka kituo cha polisi, yaua askari wawili, yapora SMG tano

WATU 15 wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha za kivita na mabomu ya kurushwa kwa mkono wamevamia kituo cha polisi Ikwiriri  wilayani Rufiji Mkoani Pwani na kuua askari polisi wawili na kupora silaha tano za SMG na mbili za kufyatulia mabomu ya machozi zilizokuwepo kituo hapo na kutokomea kusikojulikana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani