Anayedaiwa kuua polisi Bukombe, akamatwa na SMG sita, mabomu 11
Siku moja baada ya kituo cha polisi cha Wilaya ya Bukombe mkoani Geita kuvamiwa na majambazi wakiwa na silaha na kuua polisi wawili, Jeshi la Polisi limemtia mbaroni mtu mmoja akidaiwa kuhusika katika tukio hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania07 Sep
Askari wawili wauawa, SMG 10, risasi na mabomu vyaporwa
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu
NA PETER MAKUNGA, BUKOMBE
HOFU ya usalama wa raia na mali zao imetanda baada ya askari polisi wawili kuuawa na bunduki 10 aina ya SMG kuporwa katika Kituo Kikuu cha Polisi wilayani hapa.
Uporaji huo umefanywa na watu ambao hawajafahamika baada ya kuvamia kituo hicho saa 9:45 alfajiri na kuwashambulia askari polisi waliokuwa zamu ambapo wawili waliuawa na wengine watatu walijeruhiwa.
Mbali na kupora SMG 10, pia inadaiwa wamefanikiwa kupora risasi...
11 years ago
Habarileo17 Dec
Anayedaiwa kutaka kuua mume adhaminiwa
HATIMAYE Janeth Manjuru (32) mkazi wa Moshono jijini hapa, ambaye ni mke wa ndoa wa mfanyabiashara maarufu wa madini katika mikoa ya Arusha na Manyara, Jackson Manjuru, ameachiwa kwa dhamana.
10 years ago
Habarileo03 Dec
Anayedaiwa kuua na Papa Msofe ailalamikia mahakama
MFANYABIASHARA Makongoro Nyerere anayekabiliwa na kesi ya mauaji pamoja na Marijan Abubakar ‘Papa Msofe’ , amelalamikia Mahakama akidai wamekaa gerezani miaka miwili hadi amepata ugonjwa wa kifua bila kujua hatima yao ni nini kutokana na kutokukamilika kwa upelelezi.
10 years ago
MichuziBREAKING NEWZZZZ: JESHI LA POLISI MKOANI GEITA LAKAMATA BUNDUKI SABA ZILIZOPORWA KITUO CHA POLISI BUKOMBE, WATU WAWILI MBARONI NA MSAKO MKALI UNAENDELEA
9 years ago
VijimamboCOMRADE MWIGULU NCHEMBA ATUA BUKOMBE,SASA JIMBO LA BUKOMBE MIKONONI MWA CCM
10 years ago
MichuziWANANCHI WASALIMISHA SMG 2 POLISI
Jeshi la polisi mkoani Arusha limefanikiwa kupata silaha mbili aina ya SMG ambazo zilisalimishwa na wananchi katika mbili tofauti huko wilayani ngorongoro.
Akiongea na waandishi wa habari kamanda wa polisi mkoani Arusha Lineratus Sabas alisema kuwa Silaha hizo zilisalimishwa na wananchi katika siku tofa uti tofauti ambapo alisema kuwa silaha ya kwanza ilisalimishwa September...
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Polisi yawazawadia waliokamata SMG
JESHI la Polisi mkoani Shinyanga limetoa zawadi kwa wananchi pamoja na Sungungu katika kata za Segese na Lunguya, wilayani Kahama baada ya kufanikisha kukamatwa kwa watu watatu wanaosadikiwa kuwa ni...
10 years ago
Habarileo13 May
Polisi 3 kortini kwa upotevu wa SMG 8
ASKARI Polisi watatu wa Kikosi cha Kuzuia Ghasia (FFU) mkoani Tabora, wamefikishwa mahakamani, akiwemo mkuu wa kikosi hicho, Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Bhoke Julius Bruno.
10 years ago
BBCSwahili05 Nov
Meya anayetuhumiwa kuua akamatwa Mexico