BREAKING NEWZZZZ: JESHI LA POLISI MKOANI GEITA LAKAMATA BUNDUKI SABA ZILIZOPORWA KITUO CHA POLISI BUKOMBE, WATU WAWILI MBARONI NA MSAKO MKALI UNAENDELEA
![](http://3.bp.blogspot.com/-jQ6EO_Nz47o/VAyexLTS8-I/AAAAAAAGhNs/Vq-7Y2WmPaA/s72-c/8dcacabf33f6098a97598c1329d203b0.jpg)
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema Jeshi la polisi mkoani Geita limekamata bunduki saba (pichani) na mabomu kadhaa ya machozi eneo la Ushirombo wilaya ya Bukombe ikisadikiwa kuwa ni kati ya bunduki kumi zilizoporwa na majambazi yaliyovamia kituo cha polisi Bukombe na kufanya mauaji ya askari polisi wawili waliokuwa zamu jana. Bunduki hizo, nne zikiwa SMG na tatu aina ya Shotgun pamoja na panga zimepatikana katika tanuri la kuchomea matofali zikiwa zimefichwa pamoja na mabomu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLJESHI LA POLISI LAENDESHA MSAKO MKALI KWA WALIOWAUA ASKARI WAWILI
10 years ago
Michuzi21 Jan
BREAKING NYUZZZZ.....: KITUO CHA POLISI IKWIRIRI,RUFIJI CHAVAMIWA NA MAJAMBAZI,ASKARI WAWILI WAUWAWA
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo,huku askari wanaodaiwa kupotenza maisha ni Cop. Edgar aliyekatwa mapanga na Wp Judith aliyepigwa risasi ubavuni upande wa kulia na kutokea upande wa kushoto.
Hivi sasa hali ni tete katika eneo hilo na watu wamekusanyika huku polisi wakiongeza...
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LAKAMATA WATUHUMIWA WA TUKIO LA MAUAJI, AKIWEMO POLISI
Ni kwamba mnamo tarehe 20.06.2020 majira ya saa 21:00 Usiku huko katika nyumba ya kulala wageni iitwayo “The...
9 years ago
StarTV15 Nov
Jeshi la Polisi lawashikilia watu wanne kuhusika na Kifo cha mwenyekiti wa CHADEMA geita
Jeshi la Polisi linawashikilia watu wanne wanaodaiwa kuhusika na kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoani Geita Alphonce Mawazo.
Kifo cha marehemu Mawazo kimetokea jumamosi hii Novemba 14 majira ya saa sita mchana baada ya kuvamiwa na kundi la watu na kuanza kumshambulia kwa silaha za jadi.
Akizungumza na waandishi wa Habari Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita Mponjoli Mwabulambo amesema chanzo cha tukio ni kwamba kulikuwa na mkutano wa...
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOANI MBEYA LAKAMATA MALI ZIDHANIWAZO KUWA ZA WIZI, WAKAMATA WAHARIFU SUGU
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na vitendo vya uhalifu na ajali za barabarani ili kuhakikisha kuwa wageni na wakazi wa Mkoa huu wanaendelea kuwa salama na mali zao. Aidha Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa usalama ali inayopelekea kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa matukio makubwa ya uhalifu pamoja na ajali za barabarani.
KUPATIKANA NA MALI ZIDHANIWAZO KUWA ZA WIZI. Jeshi la...
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Polisi wakamata silaha zilizoporwa Geita
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu, amesema usiku wa kuamkia jana wamefanikiwa kumnasa mtuhumiwa mmoja aliyehusika katika tukio la kushambuliwa kituo cha Polisi Bukombe Geita, juzi. Majambazi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wz3pzQLdiZg/XuJN6GkQ-2I/AAAAAAALtdk/Oy1Venwc_ewKM-zBNgDMA_Lh6wQ_9YyswCLcBGAsYHQ/s72-c/26da6cd5-1fd1-4c01-bd8b-17c480d3d3a5.jpg)
JESHI LA POLISI ARUSHA LAANZA UJENZI KITUO KIDOGO CHA POLISI KATA YA KISONGO,ARUMERU KUONDOA KERO KWA WANANCHI
Akikabidhi eneo hilo kwa kuanza kupanda miti, Mkuu wa wilaya hiyo Muro, alisema kituo hicho kitasaidia kuimarisha ulinzi kwa jamii katika eneo hilo baada ya muda mrefu kuwepo matukio ya uhalifu.
Alisema eneo hilo ambalo linakuwa kwa kasi kumekuwepo na...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-SCuf8P6Jn18/VkNQg_FdJOI/AAAAAAAIFVM/XR-XpERgjGg/s72-c/2.jpg)
JESHI LA POLISI LAKAMATA SILAHA 8 NA RISASI 62
![](http://1.bp.blogspot.com/-SCuf8P6Jn18/VkNQg_FdJOI/AAAAAAAIFVM/XR-XpERgjGg/s400/2.jpg)
Akiongea na waandishi wa habari leo, katika ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova amesema wahalifu walidhani kuwa Jeshi la Polisi limeweka nguvu katika uchaguzi mkuu na kusahau kufanya misako...
11 years ago
Michuzi28 Jul