Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wakamata silaha zilizoporwa Geita

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu, amesema usiku wa kuamkia jana wamefanikiwa kumnasa mtuhumiwa mmoja aliyehusika katika tukio la kushambuliwa kituo cha Polisi Bukombe Geita, juzi. Majambazi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: JESHI LA POLISI MKOANI GEITA LAKAMATA BUNDUKI SABA ZILIZOPORWA KITUO CHA POLISI BUKOMBE, WATU WAWILI MBARONI NA MSAKO MKALI UNAENDELEA

 Habari zilizotufikia hivi punde zinasema Jeshi la polisi mkoani  Geita limekamata bunduki saba (pichani) na mabomu kadhaa ya machozi eneo la Ushirombo wilaya ya Bukombe ikisadikiwa kuwa ni kati ya bunduki kumi zilizoporwa na majambazi yaliyovamia kituo cha polisi Bukombe na kufanya mauaji ya askari polisi wawili waliokuwa zamu  jana. Bunduki hizo, nne zikiwa SMG na tatu aina ya Shotgun  pamoja na panga zimepatikana  katika tanuri la kuchomea matofali zikiwa zimefichwa pamoja na mabomu...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi Z’bar wakamata silaha za kivita

POLISI Zanzibar, wamefanikiwa kukamata silaha mbili za vita na risasi 40 zinazosadikiwa kutumika katika matukio mbalimbali ya kihalifu, likiwemo la mauaji ya askari polisi mmoja lililotokea Machi 2, mwaka huu huko kwenye Hoteli ya Kitalii ya Pongwe Bay mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar.

 

10 years ago

Mwananchi

Watu wenye silaha wavamia kituo cha polisi Dar, waua, waiba silaha

>Watu wenye silaha wamevamia kituo cha polisi cha Staki Shari jijini Dar es Salaam ambapo katika tukio hilo, watu saba wameripotiwa kuuawa, huku silaha zilizokuwepo katika kituo hicho zikiibwa.

 

10 years ago

GPL

KITUO CHA POLISI STAKISHARI-UKONGA CHAVAMIWA, POLISI WAUAWA NA KUPORWA SILAHA

WATU wanaodhaniwa kuwa magaidi wamevamia Kituo cha Polisi Stakishari kilichopo Ukonga jijini Dar es Salaam, jana usiku na kuua askari na raia kisha kupora silaha. Kwa mujibu wa taarifa za awali ambazo bado hazijathibitishwa na Jeshi la Polisi ni kwamba watu hao walifika kituoni hapo wakiwa katika pikipiki wakidai kwamba walikuwa wamembeba mtu aliyepata ajali wakihitaji msaada wa polisi kabla ya kuwabadilikia ghafla na kuanza...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wakamata majangili sugu 40

Kikosi kazi kilichoundwa na Serikali kudhibiti matukio ya ujangili, kimefanikiwa kuvunja mtandao wa ujangili kwa kuwakamata watuhumuhiwa zaidi ya 40 na silaha mbalimbali.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wakamata mabomu ya kivita Z’bar

Mabomu manne ya kivita yamekamatwa yikiwa yamehifadhiwa chini ya ardhi huko katika mji mdogo wa Daraja Bobu Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na bomu moja likihusishwa kutumika katika mlipuko uliosababisha kifo cha mtu mmoja Juni 13 mwaka huu katika Manispaa ya Unguja.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi wakamata wapiga ramli 225

Advera SensoJESHI la Polisi nchini limesema limewakamata wapiga ramli 225 katika Mikoa ya Tabora, Geita, Mwanza, Simiyu, Shinyanga Katavi, Rukwa na Kagera.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi Tabora wakamata bunduki 9 za kienyeji

JESHI la Polisi mkoani Tabora limeendelea kuimarisha ulinzi na usalama katika msimu wa sikukuu za mwishoni mwa mwaka na kufanikiwa kukamata bunduki tisa za kienyeji aina ya gobori wilayani Nzega.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani