Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wakamata wapiga ramli 225

Advera SensoJESHI la Polisi nchini limesema limewakamata wapiga ramli 225 katika Mikoa ya Tabora, Geita, Mwanza, Simiyu, Shinyanga Katavi, Rukwa na Kagera.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Wapiga ramli wapigwa marufuku

SERIKALI imewapiga marufuku wapiga ramli wote nchini kwani wanavunja sheria kwa kuwadanganya wananchi wapeleke viungo vya albino ili kupata utajiri na uongozi.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe alisema kutokana na ongezeko la matukio ya utekaji wa albino nchini, serikali imeamua kuanza kuwadhibiti wapiga ramli, akisema inaaminika ndio chanzo cha matukio hayo.

Aidha, Jeshi la Polisi na Chama cha Albino Tanzania (TAS) kimeandaa timu itakayofanya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiga ramli kupigwa marufuku TZ

Serikali ya Tanzania imeunda kikosi maalumu kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ukatili wanaofanyiwa watu wenye ulemavu wa ngozi Albino.

 

5 years ago

Michuzi

WATU 13 WASHIRIKILIWA NA JESHI LA POLISI, IKIWEPO RAMLI CHONGANISHI

JESHI LA POLISI (M) MWANZA LINAWASHIKILIA WATUHUMIWA 13 KWA TUHUMA ZA KUJIHUSISHA NA MAKOSA MBALIMBALI BAADA YA KUFANYA OPERASHENI KALI YA KUZUIA VITENDO VYA UHALIFU NA KUWAKAMATA BAADHI YA WATU WANAOJIHUSISHA NA VITENDO HIVYO.
TUKIO LA KWANZA-; KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA WA MAUAJI YALIYOHUSISHA RAMLI CHONGANISHI.
TAREHE 02.05.2020 MAJIRA YA 02:00HRS USIKU KATIKA KITONGOJI CHA IMALANGE, KIJIJI CHA MWANANGWA, WILAYA YA MISUNGWI, MKOA WA MWANZA, ALIKAMATWA MTUHUMIWA WA KOSA LA MAUAJI AITWAYE RODHA...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wakamata majangili sugu 40

Kikosi kazi kilichoundwa na Serikali kudhibiti matukio ya ujangili, kimefanikiwa kuvunja mtandao wa ujangili kwa kuwakamata watuhumuhiwa zaidi ya 40 na silaha mbalimbali.

 

11 years ago

Habarileo

Polisi wakamata kilo 201 za Heroin

RAIA 12 kutoka katika nchi mbili tofauti, wanashikiliwa Polisi kwa kukutwa wakisafirisha dawa za kulevya aina ya heroin kilogramu 201, kupitia baharini.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wakamata mabomu ya kivita Z’bar

Mabomu manne ya kivita yamekamatwa yikiwa yamehifadhiwa chini ya ardhi huko katika mji mdogo wa Daraja Bobu Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na bomu moja likihusishwa kutumika katika mlipuko uliosababisha kifo cha mtu mmoja Juni 13 mwaka huu katika Manispaa ya Unguja.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Polisi Dar waua, wakamata majambazi

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewaua majambazi wawili na kuwakamata wanane katika harakati za kupambana na uhalifu wa kutumia silaha. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Polisi wakamata silaha zilizoporwa Geita

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu, amesema usiku wa kuamkia jana wamefanikiwa kumnasa mtuhumiwa mmoja aliyehusika katika tukio la kushambuliwa kituo cha Polisi Bukombe Geita, juzi. Majambazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani