Wapiga ramli kupigwa marufuku TZ
Serikali ya Tanzania imeunda kikosi maalumu kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ukatili wanaofanyiwa watu wenye ulemavu wa ngozi Albino.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM14 Jan
Wapiga ramli wapigwa marufuku
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe alisema kutokana na ongezeko la matukio ya utekaji wa albino nchini, serikali imeamua kuanza kuwadhibiti wapiga ramli, akisema inaaminika ndio chanzo cha matukio hayo.
Aidha, Jeshi la Polisi na Chama cha Albino Tanzania (TAS) kimeandaa timu itakayofanya...
10 years ago
Habarileo12 Mar
Polisi wakamata wapiga ramli 225
JESHI la Polisi nchini limesema limewakamata wapiga ramli 225 katika Mikoa ya Tabora, Geita, Mwanza, Simiyu, Shinyanga Katavi, Rukwa na Kagera.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-Bls9HfSxa-8/XuXWhjuGmmI/AAAAAAACNPo/_MYdLsHV_hgBouO8OKInq2nW-stUMWEzACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200614_104719.jpg)
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UPIGAJI RAMLI CHONGANISHI
![](https://1.bp.blogspot.com/-Bls9HfSxa-8/XuXWhjuGmmI/AAAAAAACNPo/_MYdLsHV_hgBouO8OKInq2nW-stUMWEzACLcBGAsYHQ/s400/IMG_20200614_104719.jpg)
DODOMA, Tanzania
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amepiga marufuku tabia za Waganga wa tiba asili kupiga ramli chonganishi kwa lengo la kuwasaidia wananchi jambo ambalo ni kinyume...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-qX3G3XvlzQc/XuXB0twucgI/AAAAAAALtwM/Owg8O4_iluAYmXHXSuTuqJMlV74p8rl8QCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-14%2Bat%2B9.09.55%2BAM.jpeg)
DKT. MOLLEL APIGA MARUFUKU RAMLI CHONGANISHI.
Na WAMJW- DOM
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amepiga marufuku tabia za Waganga wa tiba asili kupiga ramli chonganishi kwa lengo la kuwasaidia wananchi jambo ambalo ni kinyume na taratibu na miongozo ya Serikali.
Dkt. Mollel ameyasema hayo leo, wakati wa hafla fupi ya wahitimu wa mafunzo ya uboreshaji wa utoaji huduma za tiba asili iliyohudhuriwa na baadhi ya wawakilishi kutoka Wizara ya Afya na baadhi ya wanafunzi wa taaluma ya uuguzi...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-JXoWjEV4zf4/VLUn4AdnUlI/AAAAAAAG9Hc/ubpxi_4ZxnU/s72-c/DSC_0296.jpg)
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU WAGANGA WA JADI WANAOPIGA RAMLI NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-JXoWjEV4zf4/VLUn4AdnUlI/AAAAAAAG9Hc/ubpxi_4ZxnU/s1600/DSC_0296.jpg)
11 years ago
BBCSwahili14 May
Wito wa kupigwa marufuku waganga TZ
9 years ago
BBCSwahili18 Nov
Vazi la Burqa kupigwa marufuku Senegal
9 years ago
BBCSwahili27 Nov
Pombe kupigwa marufuku Bihar, India
9 years ago
Mzalendo Zanzibar26 Aug
Polisi wapiga marufuku maandamano ya Lowassa:
Polisi Dar yapiga marufuku ziaza za ‘mitaani’ za wagombea Urais: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limepiga marufuku wagombea Urais wa Tanzania 2015 kufanya mikusanyiko isiyokuwa rasmi kutembelea vituo vya daladala, bodaboda au […]
The post Polisi wapiga marufuku maandamano ya Lowassa: appeared first on Mzalendo.net.