Vazi la Burqa kupigwa marufuku Senegal
Senegal inapanga kupiga marufuku uvaaji wa vazi la wanawake la Burqa kwa lengo la kuzuia mienendo ya makundi ya kijihadi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili16 Jul
Vazi la Burqa lapigwa marufuku Cameroon
Maafisa wa serikali kaskazini mwa Cameroon wamepiga marufuku wanawake kuvalia vitambara vinavyofunika nyuso zao maarufu kama Burka.
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Chad yapiga marufuku vazi la Burqa
Mamlaka ya Chad imepiga marufuku vazi la Burqa kufuatia visa vya walipuaji wa kujitolea muhanga siku ya jumatatu ambavyo vimewaua watu 23.
9 years ago
BBCSwahili24 Sep
Vazi la Burqa ladaiwa kuwa la itikadi kali
Mwanachama mwandamizi wa chama cha kikomyunisti katika jimbo la Xinjiang amesema kuwa vazi la kufunika uso la Burqa sio la kiislamu bali ni la itikadi kali.
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Senegal yapiga marufuku Charlie Hebdo
Senegal imepiga marufuku usambazaji wa jarida la kifaransa la Charlie Hebdo ambalo limechora kibonzo cha kumkejeli mtume Muhammad.
11 years ago
BBCSwahili14 May
Wito wa kupigwa marufuku waganga TZ
Polisi nchini Tanzania wamewakamata waganga wawili wa kienyeji baada ya mwanamke mmoja mwenye ulemavu wa ngozi au albino kuuwawa kwa kuchinjwa.
10 years ago
BBCSwahili14 Jan
Wapiga ramli kupigwa marufuku TZ
Serikali ya Tanzania imeunda kikosi maalumu kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ukatili wanaofanyiwa watu wenye ulemavu wa ngozi Albino.
9 years ago
BBCSwahili27 Nov
Pombe kupigwa marufuku Bihar, India
Waziri mkuu wa jimbo la Bihar nchini India ,Nitish Kumar ametangaza mipango ya kupiga marufuku uuzaji na utumizi wa pombe katika jimbo hilo.
11 years ago
Michuzi13 Feb
JK APENDEKEZA KUPIGWA MARUFUKU YA BIASHARA YA MENO YA NDOVU NA PEMBE ZA FARU DUNIANI
Rais Jakaya Kikwete akiongea kuhusu mbinu za kukabiliana na ujangili na biashara haramu ya meno ya tembo na pembe za faru, ambapo katika mkutano maalumu wa tatizo hilo leo huko Lancaster House jijini London, Uingereza leo, mependekeza kupigwa marufuku kwa biashara hiyo ulimwenguni kote ili kuua biashara hiyo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania