Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wito wa kupigwa marufuku waganga TZ

Polisi nchini Tanzania wamewakamata waganga wawili wa kienyeji baada ya mwanamke mmoja mwenye ulemavu wa ngozi au albino kuuwawa kwa kuchinjwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Matangazo ya waganga wa jadi yapigwa marufuku

SERIKALI imepiga marufuku matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuanzia jana. Aidha, wale wote wenye vibali wanatakiwa kuwasilisha vibali na matangazo hivyo katika Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala kwa ajili ya kuvifanyia mapitio upya.

 

5 years ago

CCM Blog

MARUFUKU WAGANGA WA JADI KUPOKEA WAGONJWA WASIO NA RIPOTI YA HOSPITALI

  Katika jitihada za kupambana na Ugonjwa wa Corona, Chifu wa Mkoa wa Songwe Mbeshena Nzunda ametoa marufuku kwa waganga wa jadi kupokea mgonjwa yeyote ambaye hana ripoti itakayo onyesha tatizo husika limeshindwa kutatuliwa hospitalini.

Chifu Nzunda amebainisha hayo katika kikao cha Kamati ya Amani ya Mkoa ilipokutana kujadiliana hatua zaidi za tahadhari zinazo paswa kuchukuliwa na Mkoa wa Songwe ili kupambana na ugonjwa wa Virusi vya Corona.
Amesema ili mgonjwa apate matibabu kwa mganga wa...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU WAGANGA WA JADI WANAOPIGA RAMLI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati meza) akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Serikali kuunda timu maalumu ya kutembelea maeneo yaliyosugu kwa utekaji na mauaji ya albino nchini ambapo timu hiyo inatarajiwa kuanza kazi wiki mbili zijazo kwa kuanza na mikoa sugu ya matukio hayo ambayo ni Mwanza, Geita, Simiyu, Tabora na Shinyanga na baadaye itafuata mikoa mingine. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu na kushoto ni Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiga ramli kupigwa marufuku TZ

Serikali ya Tanzania imeunda kikosi maalumu kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ukatili wanaofanyiwa watu wenye ulemavu wa ngozi Albino.

 

10 years ago

Dewji Blog

CHAWAMAMU yapiga marufuku waganga wa tiba mbadala kuwafanyia tohara watoto wachanga

SAM_2223

Afisa tarafa wa Kirumi, Bw. Juma Salumu Sima (kushoto), Katibu mkuu wa CHAWAMAMU Mkoa wa Singida,Dk.Tano Mika Likapakapa (katikati) na Afisa mtendaji wa kata ya Mwangeza (kulia).

Na. Jumbe Ismailly, Mkalama      

CHAMA cha Watafiti wa Maleria Sugu, Ukimwi na Mazingira Tanzania (CHAWAMAMU) Mkoani Singida kimepiga marufuku waganga wa tiba mbadala wasiokuwa na ujuzi  wa kuwafanyia tohara pamoja na kuwakata kilimi watoto wachanga, kuacha mara moja kuendelea na kazi hiyo.

Katibu mkuu wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Vazi la Burqa kupigwa marufuku Senegal

Senegal inapanga kupiga marufuku uvaaji wa vazi la wanawake la Burqa kwa lengo la kuzuia mienendo ya makundi ya kijihadi

 

9 years ago

BBCSwahili

Pombe kupigwa marufuku Bihar, India

Waziri mkuu wa jimbo la Bihar nchini India ,Nitish Kumar ametangaza mipango ya kupiga marufuku uuzaji na utumizi wa pombe katika jimbo hilo.

 

11 years ago

Michuzi

JK APENDEKEZA KUPIGWA MARUFUKU YA BIASHARA YA MENO YA NDOVU NA PEMBE ZA FARU DUNIANI

Rais Jakaya Kikwete akiongea kuhusu mbinu za kukabiliana na ujangili na biashara haramu ya meno ya tembo na pembe za faru, ambapo katika mkutano maalumu wa tatizo hilo leo huko Lancaster House jijini London, Uingereza leo, mependekeza kupigwa marufuku kwa biashara hiyo ulimwenguni kote ili kuua biashara hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Waganga washauriwa

WAGANGA wakuu na wasimamizi wa vituo vya afya, zahanati na hospitali, wameshauriwa kutumia vyema fedha za wananchi kutoka katika mifuko ya afya, kununua dawa kuziba pengo la ukosefu wa tiba za uhakika kwa jamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani