Polisi wapiga marufuku maandamano ya Lowassa:
Polisi Dar yapiga marufuku ziaza za ‘mitaani’ za wagombea Urais: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limepiga marufuku wagombea Urais wa Tanzania 2015 kufanya mikusanyiko isiyokuwa rasmi kutembelea vituo vya daladala, bodaboda au […]
The post Polisi wapiga marufuku maandamano ya Lowassa: appeared first on Mzalendo.net.
Mzalendo Zanzibar
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Sep
Polisi yapiga marufuku maandamano Chadema
JESHI la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyotarajiwa kuanza kufanyika leo katika maeneo mbalimbali nchini. Jeshi hilo limeonya kuwa maandamano hayo ni batili na ni kinyume cha sheria.
9 years ago
Mwananchi06 Nov
Polisi yapiga marufuku maandamano, mikutano ya kisiasa nchini
10 years ago
MichuziPOLISI YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA VIJANA WA CUF,WATAKAO ANDAMANA NGUVU YA DOLA ITATUMIKA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia maandamano ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Wananchi (JUVICUF) na kusema watakaoandamana kesho nguvu ya dola itatumika
Akizungumza na waandishi wa habari leo,Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP),Suleiman Kova amesema wamewashauri vijana hao na kusema wataandamana hivyo ni lazima nguvu itumike kuzima maandamano hayo kutokana na kuzuia kufanyika kwa shughuli...
9 years ago
StarTV07 Nov
Jeshi la Polisi nchini lapiga marufuku maandamano ya vyama vya Siasa nchini.
Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku ombi la maandamano la baadhi ya vyama vya siasa nchini baada ya uchunguzi wake kubaini kuwepo na mihemko ya kisiasa ndani ya jamii inayoweza kusababisha uvunjifu wa amani.
Kutokana na hali hiyo, jeshi hilo linasema litaendelea kushikilia msimamo wake wa awali wa kuzuia mikutano na maandamano yeyote mpaka hali itakapotengemaa.
Kauli ya Jeshi imefatia baada ya baadhi ya vyama vya siasa kuwasilisha kuwasilisha ombi la kufanya mikutano ya hadhara na...
11 years ago
BBCSwahili03 Jun
Wapinga marufuku ya maandamano Nigeria
9 years ago
Mtanzania14 Aug
IGP apiga marufuku maandamano
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
KAIMU Mkuu wa Polisi, Abdulrahman Kaniki, amepiga marufuku maandamano nchi nzima hadi Uchaguzi Mkuu upite, akisema sababu za kiusalama zimewasukuma kufanya hivyo.
Hatua hiyo imekuja zikiwa zimepita siku nne tangu vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kufanya maandamano makubwa ya kumsindikiza mgombea wao wa urais, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuchukua fomu ya utezi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Wakati Kaniki akisema hayo jana saa...
9 years ago
Habarileo03 Nov
Maandamano ya Chadema yapigwa marufuku
POLISI mkoani Shinyanga imezuia maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini hapa yaliyotarajiwa kufanyika leo.
10 years ago
Mwananchi12 Feb
Maandamano ya vijana CUF yapigwa marufuku
9 years ago
StarTV04 Nov
Maandamano ya UKAWA Singida yapigwa marufuku
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano ya kupinga matokeo ya Urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika wiki iliyopita yaliyopangwa kufanywa mkoani Singida leo Jumanne na wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA.
Imeelezwa kuwa Maandamano hayo yanayotarajiwa kuanza saa 4:00 asubuhi na kuishia kwenye Ofisi za wakuu wa Wilaya na mkoa pia yanalenga kushinikiza kutangzwa kwa Edward Lowasa wa CHADEMA kuwa ndiye mshindi wa nafasi wa Urais suala...