IGP apiga marufuku maandamano
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
KAIMU Mkuu wa Polisi, Abdulrahman Kaniki, amepiga marufuku maandamano nchi nzima hadi Uchaguzi Mkuu upite, akisema sababu za kiusalama zimewasukuma kufanya hivyo.
Hatua hiyo imekuja zikiwa zimepita siku nne tangu vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kufanya maandamano makubwa ya kumsindikiza mgombea wao wa urais, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuchukua fomu ya utezi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Wakati Kaniki akisema hayo jana saa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
IGP apiga marufuku Kigodoro, Kangamoko
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, (IGP) Ernest Mangu, amepiga marufuku vikundi vya ngoma vya Kigodoro, Kangamoko na vingine vinavyokiuka maadili ya kitanzania. Kutokana na hatua hiyo, IGP Mangu amewaagiza...
10 years ago
GPLKOVA APIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA VIJANA WA CUF
9 years ago
Mwananchi22 Oct
IGP apiga marufuku mikusanyiko ya watu siku ya kupiga kura
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-pMKecE9pGmI/VdbczYHPGbI/AAAAAAABUMI/cXo-5oJ4Rts/s72-c/Picha%2Bya%2BRC%2BDsm.jpg)
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM APIGA MARUFUKU MAANDAMANO KATIKA KIPINDI CHA KAMPENI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-pMKecE9pGmI/VdbczYHPGbI/AAAAAAABUMI/cXo-5oJ4Rts/s640/Picha%2Bya%2BRC%2BDsm.jpg)
Jiji la Dar es Salaam limepiga marufu maandamno yeyote ya vyama vya siasa hasa wakati wa kampeni na kwamba kufanya hivyo ni kinyume na sheria na hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa chama au wafuasi wowote watakaobainika kufanya maandamo hayo.Agizo hilo kali kwa wafuasi na vyama vya siasa imekuja siku moja tu kabla ya kuanza kampeni za uchaguzi mkuu, ambapo kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam vyama vyote vya siasa na wafuasi wao watakaofanya kampeni zao Dar es Salaam hawanabudi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MutXCvJoyvI/VNIzKNk7lZI/AAAAAAAHBrk/wVlaEEYxUc0/s72-c/DSC_1394.jpg)
KAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-MutXCvJoyvI/VNIzKNk7lZI/AAAAAAAHBrk/wVlaEEYxUc0/s1600/DSC_1394.jpg)
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...
10 years ago
Habarileo08 Jul
DC apiga marufuku vijana kukaa vijiweni
MKUU wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Chande Nalicho amepiga marufuku tabia ya baadhi ya watu hasa vijana kutumia muda mwingi kukaa vijiweni kuendekeza mambo ya kisiasa na kuacha kufanya kazi za kujiletea maendeleo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OSDnqVdqkHsfvSQAGruC1AtLyqTkgqeP1jc3aTotgkxvBnoI6ZEQvJydB6zc5uB2JL2Ue5Gnw55TFUKzoPUVzbH*UmK84ENU/loga.jpg?width=650)
Loga apiga marufuku chenga za Messi
10 years ago
Habarileo22 Jan
DC Kahama apiga marufuku matumizi ya visima, kulima
MKUU wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Benson Mpesya amepiga marufuku wananchi wa kijiji namba tisa kata ya Bulyanhulu wilayani hapa kutumia maji ya visima pamoja na kuendesha shughuli za kilimo.
10 years ago
Habarileo22 Feb
Pinda apiga marufuku ukarabati maabara za zamani
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amepiga marufuku ukarabati wa maabara za zamani za shule za sekondari na kusisitiza kwamba ni lazima zijengwe mpya kama ambavyo Serikali ilielekeza.