IGP apiga marufuku mikusanyiko ya watu siku ya kupiga kura
Jeshi la Polisi nchini, limepiga marufuku mikusanyiko ya watu siku ya kupiga kura kwa madai kwamba imekuwa ndiyo chanzo cha uvunjifu wa amani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi29 Oct
RC Arusha apiga marufuku mikusanyiko kushangilia matokeo
9 years ago
Mtanzania14 Aug
IGP apiga marufuku maandamano
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
KAIMU Mkuu wa Polisi, Abdulrahman Kaniki, amepiga marufuku maandamano nchi nzima hadi Uchaguzi Mkuu upite, akisema sababu za kiusalama zimewasukuma kufanya hivyo.
Hatua hiyo imekuja zikiwa zimepita siku nne tangu vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kufanya maandamano makubwa ya kumsindikiza mgombea wao wa urais, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuchukua fomu ya utezi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Wakati Kaniki akisema hayo jana saa...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
IGP apiga marufuku Kigodoro, Kangamoko
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, (IGP) Ernest Mangu, amepiga marufuku vikundi vya ngoma vya Kigodoro, Kangamoko na vingine vinavyokiuka maadili ya kitanzania. Kutokana na hatua hiyo, IGP Mangu amewaagiza...
9 years ago
VijimamboJESHI LA POLISI MBEYA LAPIGA MARUFUKU KWENDA KUPIGA KURA UKIWA UMEVAA SARE ZA VYAMA
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limetoa rai kwa wafuasi wa vyama vishiriki katika uchaguzi mkuu Octoba 25 mwaka huu kujiepusha kufika katika kituo cha kupigia kura wakiwa wamevaa nguo zenye picha za wagombea, maneno au nembo ama rangi za chama cha siasa.
Aidha wametakiwa , kuepuka kutumia uvumi, maneno ya uongo, hisia au visingizio vyenye lengo la kuwazuia wengine kwenda kupiga kura.
Pia amewataka kuepuka kufanya kampeni katika kituo cha kupigia kura iwe kwa...
10 years ago
CloudsFM12 Dec
Watu milioni 11 tu kupiga kura J’pili
Katika uchaguzi huo, watakaochaguliwa ni wenyeviti wa vijiji na wajumbe wa halmashauri za vijiji, wenyeviti wa mitaa na wajumbe wa kamati za mitaa na wenyeviti wa vitongoji.
Mkoa wa Katavi umeongoza kwa kuandikisha asilimia 78 ya wapigakura huku mkoa wa Dar es Salaam umetajwa kufanya vibaya katika kuandikisha wapiga kura,...
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Watu 92,000 kupiga kura Chalinze
JUMLA ya watu 92,939 wanatarajiwa kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa Chalinze utakaofanyika Jumapili ijayo. Takwimu hizo zilitolewa wilayani hapa juzi na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),...
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Kwanini watu hawapendi kupiga kura?
TUMESHUHUDIAuchaguzi wa Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa ukimalizika huku wananchi 29,541 pekee wakijitokeza kupiga kura wakati idadi kamili ya waliopaswa kupiga kura ikiwa ni 71,964. Hesabu hiyo ni sawa na...
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Zitafutwe sababu watu kutoshiriki kupiga kura
10 years ago
Habarileo28 May
NEC yaachiwa uamuzi siku ya kupiga kura
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeachiwa jukumu la kuamua siku ya kufanyika Uchaguzi Mkuu baada ya wabunge kutaka uchaguzi usiwe unafanyika katika siku za kuabudu ambazo ni Ijumaa, Jumamosi na Jumapili.