Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitafutwe sababu watu kutoshiriki kupiga kura

Hatuna uhakika kama Serikali ya Muungano, Serikali ya Mapinduzi (SMZ) au tume za uchaguzi za Nec na Zec zimejishughulisha kwa namna yoyote ile, kupata jibu na sababu zinazowafanya wananchi washindwe kushiriki katika chaguzi mbalimbali hapa nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

BVR isiwe sababu ya kukosa haki ya kupiga kura

Ni wazi kwamba mpango wa uandikishaji wapigakura kwenye Daftari la Kudumu kwa kutumia mfumo wa kielektroniki wa BVR umegubikwa na malalamiko kutoka kila eneo ambako uandikishwaji umefanywa.

 

10 years ago

CloudsFM

Watu milioni 11 tu kupiga kura J’pili

UMLA ya Watanzania milioni 11.4 wamejiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Jumapili wiki hii, sawa na asilimia 62 ya lengo lililowekwa.
Katika uchaguzi huo, watakaochaguliwa ni wenyeviti wa vijiji na wajumbe wa halmashauri za vijiji, wenyeviti wa mitaa na wajumbe wa kamati za mitaa na wenyeviti wa vitongoji.

Mkoa wa Katavi umeongoza kwa kuandikisha asilimia 78 ya wapigakura huku mkoa wa Dar es Salaam umetajwa kufanya vibaya katika kuandikisha wapiga kura,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwanini watu hawapendi kupiga kura?

TUMESHUHUDIAuchaguzi wa Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa ukimalizika huku wananchi 29,541 pekee wakijitokeza kupiga kura wakati idadi kamili ya waliopaswa kupiga kura ikiwa ni 71,964. Hesabu hiyo ni sawa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watu 92,000 kupiga kura Chalinze

JUMLA ya watu 92,939 wanatarajiwa kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa Chalinze utakaofanyika Jumapili ijayo. Takwimu hizo zilitolewa wilayani hapa juzi na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),...

 

10 years ago

Mwananchi

Watu 100 matatani kujiandikisha mara mbili kupiga kura

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema inakusudia kuwafikisha mahakamani wananchi zaidi ya 100 wa Mkoa wa Njombe kwa madai ya kujiandikisha zaidi ya mara moja kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura.

 

9 years ago

Mwananchi

IGP apiga marufuku mikusanyiko ya watu siku ya kupiga kura

Jeshi la Polisi nchini, limepiga marufuku mikusanyiko ya watu siku ya  kupiga kura kwa madai kwamba imekuwa ndiyo chanzo cha uvunjifu wa amani.

 

9 years ago

Vijimambo

WATU WAMESHAANZA KUPANGA FOLENI TAYARI KWA KUTAKA KUPIGA KURA


Kituo cha Magomeni mapipa kata ya Suna wananchi wamisha anza kujipanga ili wapige kula kumchagua kiongozi wanaeamini kuwa anaweza kuwaongoza na kuwaletea maendeleo.

Msimamizi wa kituo cha upigaji kura akielekeza wananchi wapi wajipange ili wapige kura zao kwa utaratibu uliopangwa.
Habari ndiyo hii
Mwananchi akitafakari kura yake aipeleke wapi
Mmoja wa wasimamizi wa kituo cha kupigia kura kata ya Suna Magomeni mapipa hii ni live bila chenga.

 

10 years ago

GPL

JK AJIANDIKISHA KUPIGA KURA KWA KUTUMIA BVR KIJIJINI MSOGA JANA, ZAIDI YA WATU MILIONI 11 WAJIANDIKISHA NCHINI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo mpya wa kielektroniki(Biometric Voters Register( BVR) katika kijiji cha Msoga, kata ya Msoga wilayani Bagamoyo jana.Kulia akiangalia kwa makini ni mwandikishaji msaidizi Bi.Happyness Thomas Misana na katikati ni Afisa TEHAMA kutoka ofisi yaTume ya Taifa ya Uchaguzi Bi.Mariam Rajabu.Kushoto aliyesimama akishuhudia ni Mbunge wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani