Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IGP apiga marufuku Kigodoro, Kangamoko

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, (IGP) Ernest Mangu, amepiga marufuku vikundi vya ngoma vya Kigodoro, Kangamoko na vingine vinavyokiuka maadili ya kitanzania. Kutokana na hatua hiyo, IGP Mangu amewaagiza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kigodoro, kangamoko marufuku

NGOMA za kigodoro, kangamoko na nyingine ambazo huchezwa usiku katika maeneo kadhaa jijini Dar es Salaam, zimepigwa marufuku na polisi kwa kile kilichoelezwa zimegeuzwa kuwa sehemu ya uhalifu.

 

9 years ago

Mtanzania

IGP apiga marufuku maandamano

Abdulrahman Kaniki(D_IGP)Na Asifiwe George, Dar es Salaam

KAIMU Mkuu wa Polisi, Abdulrahman Kaniki, amepiga marufuku maandamano nchi nzima hadi Uchaguzi Mkuu upite, akisema sababu za kiusalama zimewasukuma kufanya hivyo.

Hatua hiyo imekuja zikiwa zimepita siku nne tangu vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kufanya maandamano makubwa ya kumsindikiza mgombea wao wa urais, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuchukua fomu ya utezi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Wakati Kaniki akisema hayo jana saa...

 

9 years ago

Mwananchi

IGP apiga marufuku mikusanyiko ya watu siku ya kupiga kura

Jeshi la Polisi nchini, limepiga marufuku mikusanyiko ya watu siku ya  kupiga kura kwa madai kwamba imekuwa ndiyo chanzo cha uvunjifu wa amani.

 

10 years ago

Habarileo

DC apiga marufuku vijana kukaa vijiweni

MKUU wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Chande Nalicho amepiga marufuku tabia ya baadhi ya watu hasa vijana kutumia muda mwingi kukaa vijiweni kuendekeza mambo ya kisiasa na kuacha kufanya kazi za kujiletea maendeleo.

 

11 years ago

GPL

Loga apiga marufuku chenga za Messi

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Hans Mloli na Ibrahim Mussa
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amemnyooshea kidole kiungo wake machachari, Ramadhani Singano ‘Messi’ akimtaka kuachana na ‘show game’ na badala yake aangalie anacheza vipi na wenzake kulifikia goli la wapinzani na kufunga mabao.…

 

5 years ago

Michuzi

RC SHINYANGA APIGA MARUFUKU WATOTO MINADA YA MIFUGO


Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainabu Tellack akiongea na wafanyibiashara wa mnada wa mifugo wa Muhunze ulioko Wilayani Kishapu jana alipofika katika mnada huo kujionea namna bora ya uzingatiaji wa maelekezo ya Serikali kuhusu kujikinga na mlipuko wa ugonjwa wa Corona.Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainabu Tellack akiongea na wafanyibiashara ndogo ndogo wa matunda na nyanya kando ya mnada wa   mifugo wa Muhunze ulioko Wilayani Kishapu jana alipofika katika mnada huo...

 

10 years ago

Habarileo

DC Kahama apiga marufuku matumizi ya visima, kulima

Benson Mpesya MKUU wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Benson Mpesya amepiga marufuku wananchi wa kijiji namba tisa kata ya Bulyanhulu wilayani hapa kutumia maji ya visima pamoja na kuendesha shughuli za kilimo.

 

9 years ago

Mwananchi

RC Arusha apiga marufuku mikusanyiko kushangilia matokeo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda  amepiga marufuku mikusanyiko na ushangiliaji wowote wa masuala ya kisiasa jijini Arusha na kuwataka wananchi kuwa watulivu wakati wakisubiri Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), kutangaza mshindi wa nafasi ya Uraisi.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda apiga marufuku ukarabati maabara za zamani

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mafunzo kwa vitendo ya kumfanyia upasuaji panya yaliyokuwa yakifanywa na wanafunzi wa kidato cha tatu, Rosemary Kapugi (kushoto) na Faudhia Ndunguru (wa pili kushoto) wakati alipotembelea maabara ya Bayolojia ya shule ya sekondari ya Kiwere, jimbo la Kalenga akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa juzi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amepiga marufuku ukarabati wa maabara za zamani za shule za sekondari na kusisitiza kwamba ni lazima zijengwe mpya kama ambavyo Serikali ilielekeza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani