RC SHINYANGA APIGA MARUFUKU WATOTO MINADA YA MIFUGO
![](https://1.bp.blogspot.com/-5PP5UPPnpFw/XpAXEwhG4WI/AAAAAAALmtM/uOSWbOnx2wkpPIYqrMU2O68lDXXaBkqNgCLcBGAsYHQ/s72-c/1-18-768x432.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainabu Tellack akiongea na wafanyibiashara wa mnada wa mifugo wa Muhunze ulioko Wilayani Kishapu jana alipofika katika mnada huo kujionea namna bora ya uzingatiaji wa maelekezo ya Serikali kuhusu kujikinga na mlipuko wa ugonjwa wa Corona.Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainabu Tellack akiongea na wafanyibiashara ndogo ndogo wa matunda na nyanya kando ya mnada wa mifugo wa Muhunze ulioko Wilayani Kishapu jana alipofika katika mnada huo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-KPucvek-SBQ/XoJDftBK65I/AAAAAAALloE/XOTv2kKRVcQz8lgeaF2sRSIsLiJlstGVACLcBGAsYHQ/s72-c/a146cae1-59a5-4c64-8e04-3ac8ab04f5fc.jpg)
MKUU WA MKOA WA KIGOMA APIGA MARUFUKU WATOTO KUUZA BIASHARA MAENEO MBALIMBALI
Na Editha Karlo-Michuzi Blog,Kigoma.
MKUU wa mkoa Kigoma Emanuel Maganga amepiga marufuku kwa wanafunzi na watoto kutumika kuuza bidhaa kwenye masoko na maeneo ya biashara na badala yake wazazi watekeleze agizo la serikali la watoto na wanafunzi hao kukaa nyumbani.
Akizungumza leo wakati akifanya Ziara kwenye masoko ya Buzebazeba Ujiji, Mwanga na Kibirizi kukagua utekelezaji wa agizo la serikali kujilinda dhidi ya virus vya Corona alisema kuwa watoto watakaokuwepo wakiuza kwenye masoko wazazi...
9 years ago
Mtanzania14 Aug
IGP apiga marufuku maandamano
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
KAIMU Mkuu wa Polisi, Abdulrahman Kaniki, amepiga marufuku maandamano nchi nzima hadi Uchaguzi Mkuu upite, akisema sababu za kiusalama zimewasukuma kufanya hivyo.
Hatua hiyo imekuja zikiwa zimepita siku nne tangu vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kufanya maandamano makubwa ya kumsindikiza mgombea wao wa urais, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuchukua fomu ya utezi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Wakati Kaniki akisema hayo jana saa...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
IGP apiga marufuku Kigodoro, Kangamoko
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, (IGP) Ernest Mangu, amepiga marufuku vikundi vya ngoma vya Kigodoro, Kangamoko na vingine vinavyokiuka maadili ya kitanzania. Kutokana na hatua hiyo, IGP Mangu amewaagiza...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OSDnqVdqkHsfvSQAGruC1AtLyqTkgqeP1jc3aTotgkxvBnoI6ZEQvJydB6zc5uB2JL2Ue5Gnw55TFUKzoPUVzbH*UmK84ENU/loga.jpg?width=650)
Loga apiga marufuku chenga za Messi
10 years ago
Habarileo08 Jul
DC apiga marufuku vijana kukaa vijiweni
MKUU wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Chande Nalicho amepiga marufuku tabia ya baadhi ya watu hasa vijana kutumia muda mwingi kukaa vijiweni kuendekeza mambo ya kisiasa na kuacha kufanya kazi za kujiletea maendeleo.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-qX3G3XvlzQc/XuXB0twucgI/AAAAAAALtwM/Owg8O4_iluAYmXHXSuTuqJMlV74p8rl8QCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-14%2Bat%2B9.09.55%2BAM.jpeg)
DKT. MOLLEL APIGA MARUFUKU RAMLI CHONGANISHI.
Na WAMJW- DOM
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amepiga marufuku tabia za Waganga wa tiba asili kupiga ramli chonganishi kwa lengo la kuwasaidia wananchi jambo ambalo ni kinyume na taratibu na miongozo ya Serikali.
Dkt. Mollel ameyasema hayo leo, wakati wa hafla fupi ya wahitimu wa mafunzo ya uboreshaji wa utoaji huduma za tiba asili iliyohudhuriwa na baadhi ya wawakilishi kutoka Wizara ya Afya na baadhi ya wanafunzi wa taaluma ya uuguzi...
10 years ago
Habarileo22 Jan
DC Kahama apiga marufuku matumizi ya visima, kulima
MKUU wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Benson Mpesya amepiga marufuku wananchi wa kijiji namba tisa kata ya Bulyanhulu wilayani hapa kutumia maji ya visima pamoja na kuendesha shughuli za kilimo.
10 years ago
GPLKOVA APIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA VIJANA WA CUF
9 years ago
Mwananchi29 Oct
RC Arusha apiga marufuku mikusanyiko kushangilia matokeo