MKUU WA MKOA WA KIGOMA APIGA MARUFUKU WATOTO KUUZA BIASHARA MAENEO MBALIMBALI

Na Editha Karlo-Michuzi Blog,Kigoma.
MKUU wa mkoa Kigoma Emanuel Maganga amepiga marufuku kwa wanafunzi na watoto kutumika kuuza bidhaa kwenye masoko na maeneo ya biashara na badala yake wazazi watekeleze agizo la serikali la watoto na wanafunzi hao kukaa nyumbani.
Akizungumza leo wakati akifanya Ziara kwenye masoko ya Buzebazeba Ujiji, Mwanga na Kibirizi kukagua utekelezaji wa agizo la serikali kujilinda dhidi ya virus vya Corona alisema kuwa watoto watakaokuwepo wakiuza kwenye masoko wazazi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV18 Dec
Mkuu wa Mkoa Dodoma apiga marufuku Posho Za Vikao Kwa Watendaji
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni mstaafu Chiku Galawa amepiga marufuku ulipaji wa posho za vikao vya kazi kwa wakuu wa idara na watendaji kutokana na utendaji usioridhisha.Aidha amewataka viongozi hao kukaa mara mbili kwa wiki ofisini, siku zilizobaki zikitumika kugagua kazi zilizofanywa na walio chini yao pamoja na kusikiliza kero za wananchi.
Agizo hilo linatolewa katika kikao cha ufunguzi wa baraza la madiwani wa halmashauri ya kongwa Galawa anafikia uamuzi huo kutokana na wilaaya hiyo...
10 years ago
Vijimambo
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM APIGA MARUFUKU MAANDAMANO KATIKA KIPINDI CHA KAMPENI.

Jiji la Dar es Salaam limepiga marufu maandamno yeyote ya vyama vya siasa hasa wakati wa kampeni na kwamba kufanya hivyo ni kinyume na sheria na hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa chama au wafuasi wowote watakaobainika kufanya maandamo hayo.Agizo hilo kali kwa wafuasi na vyama vya siasa imekuja siku moja tu kabla ya kuanza kampeni za uchaguzi mkuu, ambapo kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam vyama vyote vya siasa na wafuasi wao watakaofanya kampeni zao Dar es Salaam hawanabudi...
10 years ago
GPLMKUU WA MKOA MWANZA AWAJIA JUU VIONGOZI WA JIJI, ATAKA MACHINGA WAPEWE MAENEO YA BIASHARA
11 years ago
Michuzi
MKUU WA MKOA WA RUKWA AKAGUA UJENZI WA MIRADI YA MAJI KATIKA MANISPAA YA SUMBAWANGA, APIGA MARUFUKU UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI

5 years ago
Michuzi
5 years ago
Michuzi
DC NDEJEMBI APIGA MARUFUKU BIASHARA ZISIZO NA VITAKASA MIKONO NDANI YA WILAYA YA KONGWA
Charles James, Michuzi TV
MKUU wa Wilaya ya Kongwa, Deo Ndejembi amepiga marufuku biashara zozote ndani ya wilaya hiyo ambazo hazina vifaa vya kujikinga na corona.
DC Ndejembi amewataka wafanyabiashara wote kuhakikisha wanaweka maji ya kunawa yanayotiririka, sabuni au vitakasa mikono ikiwa ni jitihada za kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya mapafu maarufu Corona.
Akizungumza katika mkutano wake na watendaji wa kata zote za wilaya hiyo, DC Ndejembi pia amewataka watendaji hao...
5 years ago
Michuzi
RC SHINYANGA APIGA MARUFUKU WATOTO MINADA YA MIFUGO

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainabu Tellack akiongea na wafanyibiashara wa mnada wa mifugo wa Muhunze ulioko Wilayani Kishapu jana alipofika katika mnada huo kujionea namna bora ya uzingatiaji wa maelekezo ya Serikali kuhusu kujikinga na mlipuko wa ugonjwa wa Corona.

11 years ago
Bongo530 Jul
Makamu Waziri Mkuu wa Uturuki apiga marufuku wanawake kucheka hadharani
5 years ago
Michuzi
WAZIRI SIMBACHAWENE APIGA MARUFUKU POLISI KUKAMATA WANANCHI, BODABODA BILA KUFUATA UTARATIBU, AAGIZA KILA OPERESHENI MKUU WA WILAYA APEWE TAARIFA, ASISITIZA UCHAGUZI MKUU WA HURU NA HAKI 2020


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...