KAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-MutXCvJoyvI/VNIzKNk7lZI/AAAAAAAHBrk/wVlaEEYxUc0/s72-c/DSC_1394.jpg)
Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/UHYpsTi4Y0E/default.jpg)
10 years ago
GPLKOVA APIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA VIJANA WA CUF
9 years ago
StarTV09 Nov
Bavicha yashinikiza kuandaa Mgomo, maandamano
Baraza la Vijana wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo Chadema BAVICHA limetoa saa 72 kwa Bodi ya mikopo nchini kutoa mikopo kwa asilimia 82 ya wanafunzi wa Elimu ya juu waliokosa na kwamba kukiuka agizo hilo watashinikiza mgomo na maandamano nchi nzima.
Bavicha inasema tayari imekwisha andaa mfumo maalumu wa kuendesha zoezi hilo linaolenga kushawishi vijana kupata haki yao ya msingi.
Kauli ya Bavicha imefatia siku chache baada Novemba 6, mwaka huu Jeshi la Polisi nchini kupiga marufuku...
9 years ago
Mtanzania14 Aug
IGP apiga marufuku maandamano
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
KAIMU Mkuu wa Polisi, Abdulrahman Kaniki, amepiga marufuku maandamano nchi nzima hadi Uchaguzi Mkuu upite, akisema sababu za kiusalama zimewasukuma kufanya hivyo.
Hatua hiyo imekuja zikiwa zimepita siku nne tangu vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kufanya maandamano makubwa ya kumsindikiza mgombea wao wa urais, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuchukua fomu ya utezi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Wakati Kaniki akisema hayo jana saa...
10 years ago
Habarileo13 Feb
Maandamano ya Vijana CUF yapigwa ‘stop’
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imepiga marufuku maandamano ya Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Wananchi (JUVICUF) kutokana na kile ilichosema yana lengo la kusababisha uvunjifu wa amani.
9 years ago
Habarileo03 Nov
Polisi yapiga ‘stop’ maandamano ya Ukawa
POLISI mkoani hapa imepiga marufuku maandamano ya wafuasi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), yaliyolenga kushinikiza aliyekuwa mgombea urais, Edward Lowassa kutangazwa kuwa ndiye mshindi halali wa kiti hicho.
9 years ago
Habarileo03 Nov
Jeshi la Polisi lapiga ‘stop’maandamano ya Chadema
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yaliyopangwa kufanyika bila ukomo kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni kinyume cha sheria.
11 years ago
Habarileo05 Feb
Maandamano ya Chadema Arusha mjini ‘yapigwa stop’
POLISI imezuia maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yaliyopangwa kufanyika leo jijini Arusha, kwa madai kuwa malalamiko yao yanashughulikiwa.
10 years ago
Habarileo28 Jan
Maandamano ya chama cha CUF yapigwa ‘stop’
CHAMA cha Wananchi -CUF kimeamua kuahirisha maandamano yake, yaliyopangwa kufanyika jana, ikiwa ni ishara ya kuadhimisha miaka 14 ya vifo vya wafuasi wake waliopoteza maisha Januari 27, mwaka 2001.