Maandamano ya Vijana CUF yapigwa ‘stop’
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imepiga marufuku maandamano ya Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Wananchi (JUVICUF) kutokana na kile ilichosema yana lengo la kusababisha uvunjifu wa amani.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo28 Jan
Maandamano ya chama cha CUF yapigwa ‘stop’
CHAMA cha Wananchi -CUF kimeamua kuahirisha maandamano yake, yaliyopangwa kufanyika jana, ikiwa ni ishara ya kuadhimisha miaka 14 ya vifo vya wafuasi wake waliopoteza maisha Januari 27, mwaka 2001.
10 years ago
Mwananchi12 Feb
Maandamano ya vijana CUF yapigwa marufuku
11 years ago
Habarileo05 Feb
Maandamano ya Chadema Arusha mjini ‘yapigwa stop’
POLISI imezuia maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yaliyopangwa kufanyika leo jijini Arusha, kwa madai kuwa malalamiko yao yanashughulikiwa.
10 years ago
GPLKOVA APIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA VIJANA WA CUF
10 years ago
MichuziPOLISI YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA VIJANA WA CUF,WATAKAO ANDAMANA NGUVU YA DOLA ITATUMIKA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia maandamano ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Wananchi (JUVICUF) na kusema watakaoandamana kesho nguvu ya dola itatumika
Akizungumza na waandishi wa habari leo,Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP),Suleiman Kova amesema wamewashauri vijana hao na kusema wataandamana hivyo ni lazima nguvu itumike kuzima maandamano hayo kutokana na kuzuia kufanyika kwa shughuli...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MutXCvJoyvI/VNIzKNk7lZI/AAAAAAAHBrk/wVlaEEYxUc0/s72-c/DSC_1394.jpg)
KAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-MutXCvJoyvI/VNIzKNk7lZI/AAAAAAAHBrk/wVlaEEYxUc0/s1600/DSC_1394.jpg)
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...
9 years ago
Habarileo03 Nov
Maandamano ya Chadema yapigwa marufuku
POLISI mkoani Shinyanga imezuia maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini hapa yaliyotarajiwa kufanyika leo.
9 years ago
StarTV04 Nov
Maandamano ya UKAWA Singida yapigwa marufuku
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano ya kupinga matokeo ya Urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika wiki iliyopita yaliyopangwa kufanywa mkoani Singida leo Jumanne na wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA.
Imeelezwa kuwa Maandamano hayo yanayotarajiwa kuanza saa 4:00 asubuhi na kuishia kwenye Ofisi za wakuu wa Wilaya na mkoa pia yanalenga kushinikiza kutangzwa kwa Edward Lowasa wa CHADEMA kuwa ndiye mshindi wa nafasi wa Urais suala...
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Miss Tanzania yapigwa ‘stop’