Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maandamano ya chama cha CUF yapigwa ‘stop’

CHAMA cha Wananchi -CUF kimeamua kuahirisha maandamano yake, yaliyopangwa kufanyika jana, ikiwa ni ishara ya kuadhimisha miaka 14 ya vifo vya wafuasi wake waliopoteza maisha Januari 27, mwaka 2001.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Maandamano ya Vijana CUF yapigwa ‘stop’

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaPOLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imepiga marufuku maandamano ya Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Wananchi (JUVICUF) kutokana na kile ilichosema yana lengo la kusababisha uvunjifu wa amani.

 

11 years ago

Habarileo

Maandamano ya Chadema Arusha mjini ‘yapigwa stop’

POLISI imezuia maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yaliyopangwa kufanyika leo jijini Arusha, kwa madai kuwa malalamiko yao yanashughulikiwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Maandamano ya vijana CUF yapigwa marufuku

Licha ya Jumuiya ya vijana wa Chama cha Wananchi (CUF) kusisitiza azma yao ya kuandamana leo, polisi imepiga marufuku maandamano hayo na kusema halitosita kutumia nguvu endapo vijana wa chama hicho watakaidi amri ya kutoandamana.

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.

 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo  maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).


Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...

 

10 years ago

GPL

PROF. LIPUMBA AMECHOSHWA NA UKAWA AU CHAMA CHAKE CHA CUF?

NASHANGAA, kwa nini msomi kama Prof. Ibrahim Haruna Lipumba anatafuta uongo kuuficha utashi wake ambao kimsingi ndiyo uliomfanya awe mwanamageuzi na kukubali kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (Cuf)? Usomi siyo kuwa na vyeti ni uwezo au maarifa ya kukabiliana na changamoto za maisha. Nilitaraji kumuona Prof. Lipumba akifikia tafsiri hii baada ya kubaini kuwa Umoja wa Katiba ya Mwananchi (Ukawa) alimokitumbukiza chama chake...

 

10 years ago

Dewji Blog

Abdulrahman Kinana: Wafuasi wa Chama cha CUF wako kifungoni

4

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wana CCM wa maskani ya Mnarani Wilaya ya Micheweni na kuzungumza na wanachama wa maskani hiyo, Awali wakisoma taarifa yao mbele ya Katibu Mkuu wa CCM wanamaskani hao. Wamesema walihama kutoka Chama cha CUF na kujiunga na CCM lakini toka wamehama kutoka chama hicho wamekuwa wakinyanyaswa sana na kuzuiwa kufanya kazi ya uvuvi ikiwa ni pamoja na kutishiwa maisha na kuitwa makafiri na wafuasi wa CUF jambo ambalo linawasikitisha...

 

10 years ago

GPL

ABDULRAHMAN KINANA: WAFUASI WA CHAMA CHA CUF WAKO KIFUNGONI‏

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wakishiriki ujenzi wa tuta la kuzuia maji chumvi katika bonde la Mpunga la Koowe Wingwi Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba , kulia ni Vuai Ali Vuai Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba Ndugu Omar Khamis Othman.…

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT : KATIBU MKUU CHAMA CHA CUF AFARIKI DUNIA

Kwa masikitiko na huzuni kubwa nawatangazia wanachama wote wa CUF-Chama Cha Wananchi na Umma wa Watanzania kifo Cha Katibu Mkuu wa Chama Mhe. Khalifa Suleyman Khalifa kilichotokea usiku huu.

Marehemu Khalifa amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu kutokana na Matatizo ya ini.

Kwa hakika Chama kimepata pigo kubwa na kwa yakini marehemu ameacha pengo ambalo haliwezi kuzibika kirahisi.

CUF-Chama Cha Wananchi kinatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu na...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: IBRAHIMU LIPUMBA AJIUZULU UENYEKITI KATIKA CHAMA CHA CUF LEO


Aliyekuwa  Mwenyekiti wa chama cha CUF taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba akizungumza ngumza na waandishi wa habari kuhusiana na kung'atua rasmi umwenyekiti wa chama hicho na kuendelea kuwa mwanachama wakawaida wa chama hicho ikiwa atakuwa mwanachama halali kwani kadi yake ya uanachama ameshailipia mpaka mwaka 2020 hayo ameyasema katika ukumbi wa mikutano wa Peacock hoteli jijini Dar es Salaam leo. Aliyekuwa  Mwenyekiti wa chama cha CUF taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba akiwa na wananchi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani