Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWZ ALERT : KATIBU MKUU CHAMA CHA CUF AFARIKI DUNIA

Kwa masikitiko na huzuni kubwa nawatangazia wanachama wote wa CUF-Chama Cha Wananchi na Umma wa Watanzania kifo Cha Katibu Mkuu wa Chama Mhe. Khalifa Suleyman Khalifa kilichotokea usiku huu.

Marehemu Khalifa amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu kutokana na Matatizo ya ini.

Kwa hakika Chama kimepata pigo kubwa na kwa yakini marehemu ameacha pengo ambalo haliwezi kuzibika kirahisi.

CUF-Chama Cha Wananchi kinatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT :JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AFARIKI DUNIA

Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Augustino Ramadhani amefariki Dunia leo saa mbili Asubuhi katika Hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT: MBUNGE WA JIMBO LA SUMVE RICHARD NDASA AFARIKI DUNIA

Spika wa Bunge, Job Ndugai amethibitisha kutokea kwa kifo cha Mbunge wa Jimbo la Sumve, Richard Ndasa kilichotokea usiku wa kumkia leo jijini Dodoma. Spika Ndugai amehairisha shughuli za Bunge ikiwa ni kanuni za maombelezo.

 

10 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:msanii wa bongofleva Geez mabovu afariki dunia mjini Iringa usiku huu.

Msanii wa muziki wa bongofleva (pichani enzi za uhai wake )Ahmed Ally Upete ambaye pia alitambulika kwa jina la kisanii  kama Geez Mabovu,emefariki Dunia mnamo majira ya saa moja usiku wa leo,taarifa zinaeleza kuwa Geez amekutwa na umauti nyumbani kwao mjini Iringa.Taarifa kamili tutawaletea kadiri ya zitakavyokuwa zikiingia,MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU WA CHAMA CHA WAFANYAKAZI MADEREVA TANZANIA (TADWU) RASHID SALEH AFARIKI DUNIA


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambaye ni mlezi wa Chama cha Wafanyakazi Madereva Tanzania (TADWU), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi nje ya chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali ya Taifa ya kuhusu kifo cha utata cha aliyekuwa Katibu wa chama hicho Tanzania, Rashid Saleh kilichotokea hivi karibuni pamoja na ratiba ya mazishi yake yatakayofanyika jijini Mwanza. Marehemu, Rashid Saleh Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambaye ni mlezi wa Chama cha...

 

11 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ACHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA KATIBU MKUU CHAMA CHA CUF

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akichukua fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho katika ofisi kuu za CUF Wilaya ya Magharibi Kilimahewa Zanzibar. Anayemkabidhi ni Kaimu Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi Ussi Juma Hassan. Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akionyesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho katika ofisi kuu za CUF Wilaya ya Magharibi Kilimahewa Zanzibar. Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZ: MUFTI SHEKH MKUU WA TANZANIA, ISSA BIN SHAABAN SIMBA AFARIKI DUNIA

MUFTI  Shekh  Mkuu wa Tanzania, Issa Bin Shaaban Simba, enzi za uhai wake.
MUFTI  Shekh  Mkuu wa Tanzania, Issa Bin Shaaban Simba amefariki dunia leo katika hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam.

MUNGU ILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAEREHEMU.

Endelea kufuatilia taarifa zaidi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muasisi Chama cha Washereheshaji afariki dunia

MMOJA wa Waasisi wa Chama cha Washereheshaji nchini (Sherehe Arts Association – SAA) na Mweka Hazina wa kwanza wa chama hicho, MC Frank Kavemba, amefariki dunia Jumamosi, akiwa kwenye Hospitali...

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Yanga wa zamani, George Johnson Mpondela ‘Castor’ afariki dunia, kuzikwa tabora jumatano


Katibu Mkuu wa Yanga  wa zamani, George Johnson Mpondela ‘Castor’ (kulia) enzi za uhai wake akiwa katika moja ya mikutano ya klabu hiyo. Kushoto ni mmoja wa wazee maarufu wa klabu hiyo Mzee Yusuf Mzimba. Na Mahmoud Zubeiry

 Katibu Mkuu wa Yanga SC wa zamani, George Johnson Mpondela ‘Castor’ amefariki dunia jana saa nne usiku katika hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya moyo.

Mtoto wa marehemu, Hilton Mpondela amemwambia mwandishi wa habari hii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani