Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWZ ALERT :WIZARA YA AFYA YATANGAZA KIFO CHA KWANZA CHA MGONJWA WA COVID-19 NCHINI.


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kenya yatangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa mwenye virusi vya corona

Kenya imetangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa aliyekuwa akiugua virusi vya corona.

 

5 years ago

Michuzi

Rwanda yatangaza kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19)

Rwanda imethibitisha kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19). Mgonjwa huyo ni raia wa India aliyewasili Rwanda Machi 8 kutoka Mumbai, India, kulingana na taarifa iliyotolewa na wizara ya afya.

Raia huyo hakuwa na dalili zozote za virusi vya Corona wakati anawasili nchini Rwanda na alijipeleka mwenyewe kwenye kituo cha afya Machi 13, ambapo alifanyiwa vipimo mara moja.

Wizara ya afya imesema kwa sasa anaendelea na matibabu, hali yake imeimarika na ametengwa na wagonjwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Rwanda yatangaza kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19)

Rwanda imethibitisha kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19) kutoka kwa raia wa India aliyewasili nchini humo

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT: Rais DKT Magufuli atangaza kifo cha Waziri Augustine Mahiga






Pichani ni aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mbunge)  aliyefariki leo tarehe 01 Mei, 2020 Jijini Dodoma. 





 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT : Mgonjwa wa Corona atoroka karantini Dar,atafutwa mkoani Njombe

Mgonjwa anayetokana na virusi vya Corona (Covid-19) ametoroka karantini jijini Dar es salaam,Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri amethibitisha kushikiliwa basi za kampuni ya Luwinzo mjini Makambako zilizotumiwa na mgojwa huyo na kuendelea na ukaguzi.

Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri amesema serikali inafuatilia kwa karibu chombo cha usafiri kilichotumiwa na mgonjwa aliyetoroka karantini jijini Dar es salaam.

“Hizo taarifa ni za kweli lakini bado wanafanyia kazi hawajanipa taarifa ni...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA ASHTUSHWA NA MAKUSUDI YA WIZARA YA AFYA KUHUSIANA NA KITUO CHA AFYA CHA INYONGA,WILAYA YA MLELE-KATAVI

 Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya cha Inyonga, Dk. Adis Koni akimpatia maelezo Kinana na viongozi wengine wa chama na serikali kuhusu kucheleweshwa kwa makusudi kituo hicho kukipa hadhi ya kuwa hospitali ya wilaya,ambapo imeelezwa kuwa ucheleweshwaji huo unafanywa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,kwani maombi walikwishayatuma Wizarani tangu februari mwaka jana. Kinana akioneshwa baadhi ya vifaa tiba vya kisasa vilivyotolewa msaada na Mbunge wa Jimbo la Katavi, Waziri Mkuu, Mizengo...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU ATHIBITISHA UWEPO WA MGONJWA WA KWANZA WA CORONA NCHINI


Na Avila Kakingo, Globu ya jamiiWAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema kuna mtu mmoja mwenye umri wa miaka 46 ameainika kuwa na virusi vya Corona Covid 19 ambaye aliwasili nchini na ndege ya Rwandan air  akitokea nchini ubelgiji.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Waziri Ummy amesema kuwa  mtu huyo ambaye ni mwanamke raia wa Tanzania aliondoka nchini, Machi 3, 2020,ambapo kati ya Machi 5 hadi Machi13 alitembelea nchi za Swiden  na Denmark na kurudi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani