Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Kenya yatangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa mwenye virusi vya corona

Kenya imetangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa aliyekuwa akiugua virusi vya corona.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Rwanda yatangaza kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19)

Rwanda imethibitisha kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19) kutoka kwa raia wa India aliyewasili nchini humo

 

5 years ago

Michuzi

Rwanda yatangaza kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19)

Rwanda imethibitisha kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19). Mgonjwa huyo ni raia wa India aliyewasili Rwanda Machi 8 kutoka Mumbai, India, kulingana na taarifa iliyotolewa na wizara ya afya.

Raia huyo hakuwa na dalili zozote za virusi vya Corona wakati anawasili nchini Rwanda na alijipeleka mwenyewe kwenye kituo cha afya Machi 13, ambapo alifanyiwa vipimo mara moja.

Wizara ya afya imesema kwa sasa anaendelea na matibabu, hali yake imeimarika na ametengwa na wagonjwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Congo DRC yathibitisha kisa cha kwanza cha virusi vya Corona

Kisa cha kwanza cha virusi vya Corona kimethibitishwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Msemaji wa wizara ya Afya amesema Jumanne.

 

5 years ago

Michuzi

Burkina Faso yaripoti kifo cha kwanza cha Corona 'Sub-Sahara', virusi hivyo vyaua karibu 500 Italia ndani ya saa 24

Waathiriwa wa kirusi cha corona nchini Kenya wamefikia watu saba baada ya watu wengine watatu kuthibitishwa kuambukizwa kirusi hicho.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano, Waziri wa Afya wa Kenya, Mutahi Kagwe amesema kuwa, watu wote hao saba wametoka nje ya Kenya. Wawili kati ya wagonjwa hao watatu wa karibuni kabisa wametokea Madrid Uhispania kupitia Dubai na mgonjwa wa tatu ni raia wa Burundi aliyewasili katika Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi akitokea Dubai...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Nadharia za kuficha ukweli zaibuka kuhusu kifo cha mtaalamu wa corona.

Polisi nchini Marekani wanadai huenda mauaji hayo ni ya kimapenzi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Serikali ya Tanzania imethibitisha kifo cha mtu mmoja kutokana na virusi vya corona

Tanzania yathibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kenya yatangaza visa 28 zaidi vya maambukizi ya Covid-19

Idadi ya maambukizi ya virusi vya corona nchini Kenya imepanda hadi kufikia jumla ya watu 649 Jumamosi, baada ya kutangazwa kwa matokeo chanya vya virusi katika sampuli za watu 28 miongoni mwa waliopimwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani