Burkina Faso yaripoti kifo cha kwanza cha Corona 'Sub-Sahara', virusi hivyo vyaua karibu 500 Italia ndani ya saa 24
![](https://1.bp.blogspot.com/-1rAb-JAL3D8/XnMDwtYpMcI/AAAAAAALkYs/R6aepGJaDnEQbUWABorIPF0fzUJ_kb28ACLcBGAsYHQ/s72-c/4bv7e00ddaba541mbt9_800C450.jpg)
Waathiriwa wa kirusi cha corona nchini Kenya wamefikia watu saba baada ya watu wengine watatu kuthibitishwa kuambukizwa kirusi hicho.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano, Waziri wa Afya wa Kenya, Mutahi Kagwe amesema kuwa, watu wote hao saba wametoka nje ya Kenya. Wawili kati ya wagonjwa hao watatu wa karibuni kabisa wametokea Madrid Uhispania kupitia Dubai na mgonjwa wa tatu ni raia wa Burundi aliyewasili katika Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi akitokea Dubai...
Michuzi