Rwanda yatangaza kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19)
![](https://1.bp.blogspot.com/-elbtEyTHsgI/XmzmjxsEhbI/AAAAAAALjqQ/Jfn3seMIwVUbIXimJMg66xeJCtTeVg1hACLcBGAsYHQ/s72-c/_111260676_946d6c86-02bf-4a63-b610-bfddfa94f8b4.jpg)
Rwanda imethibitisha kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19). Mgonjwa huyo ni raia wa India aliyewasili Rwanda Machi 8 kutoka Mumbai, India, kulingana na taarifa iliyotolewa na wizara ya afya.
Raia huyo hakuwa na dalili zozote za virusi vya Corona wakati anawasili nchini Rwanda na alijipeleka mwenyewe kwenye kituo cha afya Machi 13, ambapo alifanyiwa vipimo mara moja.
Wizara ya afya imesema kwa sasa anaendelea na matibabu, hali yake imeimarika na ametengwa na wagonjwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili14 Mar
Coronavirus: Rwanda yatangaza kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19)
5 years ago
BBCSwahili10 Mar
Coronavirus: Congo DRC yathibitisha kisa cha kwanza cha virusi vya Corona
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Coronavirus: Kenya yatangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa mwenye virusi vya corona
5 years ago
BBCSwahili16 Mar
Tanzania yathibitisha kuwa na kisa kimoja cha virusi vya corona
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-k3CDBxyqodM/XoLma4Wrb2I/AAAAAAALlpo/YurqeqLopbMt-r2bOdOEUuU8fK_YC0EuwCLcBGAsYHQ/s72-c/1b7931d8-0454-420c-900b-f16270d2f8d8.jpg)
5 years ago
BBCSwahili09 May
Virusi vya corona: Kenya yatangaza visa 28 zaidi vya maambukizi ya Covid-19
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-PxnUTz3XA5c/XkhODCo4duI/AAAAAAALdio/sCEPUP-XKsswuUUztZNXq7XjwF9Mv6vzACLcBGAsYHQ/s72-c/52344012_303.jpg)
Kisa cha kwanza cha Corona Afrika chathibitishwa Misri
![](https://1.bp.blogspot.com/-PxnUTz3XA5c/XkhODCo4duI/AAAAAAALdio/sCEPUP-XKsswuUUztZNXq7XjwF9Mv6vzACLcBGAsYHQ/s640/52344012_303.jpg)
Taarifa iliyotolewa na wizara hiyo imesema mgonjwa aliyebainika siyo raia wa Misri lakini pia haikufafanua uraia wa mtu huyo.
Maafisa wa Misri walifanikiwa kuthibitisha kisa hicho kupitia mpango ulioanzishwa na serikali wa kuwafuatilia abiria waliowasili kutoka nchini ambazo virusi vya Corona tayari vimesambaa.
Msemaji wa wizara ya afya ya...
5 years ago
BBCSwahili11 May
Virusi vya corona: Je roboti zinatumika vipi kwenye vituo vya Covid-19 Rwanda?
5 years ago
BBCSwahili09 Apr
Virusi vya Corona: Je, kodi ya nyumba inastahili kuondoshwa katika kipindi hiki cha janga la Covid-19?