Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Virusi vya Corona: Je, kodi ya nyumba inastahili kuondoshwa katika kipindi hiki cha janga la Covid-19?

Nchini Uganda, rais Yoweri Museveni amesema kuwa haikubaliki kwa wenye nyumba kuwafurusha wapangaji wao wanashindwa kulipa kodi katika kipindi hiki.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

BODI YA USHAURI TAA YAIANGUKIA SERIKALI ISAIDIE TAA KATIKA KIPINDI HIKI CHA JANGA LA COVID 19



Na Bahati Mollel,TAA
BODI ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imeiangukia serikali iisaidie TAA kuigharama huduma mbalimbali za uendeshaji kwenye viwanja vya ndege kutokana na kuathiriwa kwa asilimia 100 na ugonjwa wa homa kali ya mapafu (COVID19), inayoambukizwa na virusi vya corona.
Mwenyekiti wa MAB, Dkt. Masatu Chiguma, ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki kwenye kikao cha dharura cha Bodi hiyo, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Watu Mashuhuri...

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA USHAURI TAA YAIANGUKIA SERIKALI ISAIDIE TAA KATIKA KIPINDI HIKI CHA JANGA LA COVID 19





Na Bahati Mollel,TAA

BODI ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imeiangukia serikali iisaidie TAA kuigharama huduma mbalimbali za uendeshaji kwenye viwanja vya ndege kutokana na kuathiriwa kwa asilimia 100 na ugonjwa wa homa kali ya mapafu (COVID19), inayoambukizwa na virusi vya corona.

Mwenyekiti wa MAB, Dkt. Masatu Chiguma, ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki kwenye kikao cha dharura cha Bodi hiyo, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Watu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Jinsi ya kulinda afya ya akili kipindi hiki cha mlipuko wa virusi vya corona

Ushauri wa kulinda afya ya akili wakati huu wa mlipuko wa virusi corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: 'Sasa iweje?' Jinsi rais wa Brazil anavyopuuza janga la Covid-19

Rais Jair Bolsonaro ametaja Covid-19 kuwa “mafua kidogo” na mara kadhaa kupuuza hatua ya kutokaribiana. Lakini tamko lake la hivi karibuni limezua ghadhabu miongoni mwa hata wafuasi wake.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je msaada wa Jack Ma Afrika una umuhimu gani katika kupambana na janga la corona?

Huku mlipuko wa virusi vya corona ukiendelea kuathiri sekta zote duniani mataifa mengi yameshindwa kupata jibu la kukabiliana na janga hilo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi janga la virusi vya corona linavyobadili usafiri wa ndege duniani

Janga la corona limelazimisha mashirika ya ndege kufuta safari na kuegesha ndege

 

5 years ago

CCM Blog

MAPIGO 6 YA JPM KWA MABEBERU KATIKA KIPINDI HIKI CHA CORONA.

Image may contain: 1 person, sitting1: Walitaka kutuuzia mavazi ya madaktari na manesi kwa bei ya laki 3 kila moja JPM akasema tutashona wenyewe kwa bei ya elfu 30
*PIGO LA KWANZA HILO*2:Barakoa kutoka nje zikaanza kuwa adimu na kupanda bei JPM akasema watanzania kila mtu ashone yake zikashuka bei zikauzwa hadi buku
*PIGO LA PILI HILO*3: Wakaleta Lockdown ili tujifungie tusifanye kazi watuletee misaada kwa masharti yao JPM akasema no HAPA KAZI TU wakashindwa.
*PIGO LA TATU HILO*4:Wakaleta vipimo feki ili watanzania wengi...

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU HUDUMA KWA WATEJA WA BENKI KUU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA COVID-19

Benki Kuu ya Tanzania (BOT) inapenda kuutarifu umma kuwa, kufuatia maelekezo ya Serikali kutaka wananchi kuchukua tahadhari za kujikinga na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona, kuanzia siku ya Jumatano tarehe 22 Aprili 2020, wananchi wote watakaotembelea ofisi za Benki Kuu  kote nchini watatakiwa kuvaa barakoa (masks) kwa lengo la kujikinga wao wenyewe na kuwakinga wafanyakazi watakaowahudumia dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.
Katika kuepuka msongamano, Benki Kuu...

 

5 years ago

Michuzi

Rwanda yatangaza kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19)

Rwanda imethibitisha kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19). Mgonjwa huyo ni raia wa India aliyewasili Rwanda Machi 8 kutoka Mumbai, India, kulingana na taarifa iliyotolewa na wizara ya afya.

Raia huyo hakuwa na dalili zozote za virusi vya Corona wakati anawasili nchini Rwanda na alijipeleka mwenyewe kwenye kituo cha afya Machi 13, ambapo alifanyiwa vipimo mara moja.

Wizara ya afya imesema kwa sasa anaendelea na matibabu, hali yake imeimarika na ametengwa na wagonjwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani