Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BODI YA USHAURI TAA YAIANGUKIA SERIKALI ISAIDIE TAA KATIKA KIPINDI HIKI CHA JANGA LA COVID 19





Na Bahati Mollel,TAA

BODI ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imeiangukia serikali iisaidie TAA kuigharama huduma mbalimbali za uendeshaji kwenye viwanja vya ndege kutokana na kuathiriwa kwa asilimia 100 na ugonjwa wa homa kali ya mapafu (COVID19), inayoambukizwa na virusi vya corona.

Mwenyekiti wa MAB, Dkt. Masatu Chiguma, ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki kwenye kikao cha dharura cha Bodi hiyo, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Watu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

BODI YA USHAURI TAA YAIANGUKIA SERIKALI ISAIDIE TAA KATIKA KIPINDI HIKI CHA JANGA LA COVID 19



Na Bahati Mollel,TAA
BODI ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imeiangukia serikali iisaidie TAA kuigharama huduma mbalimbali za uendeshaji kwenye viwanja vya ndege kutokana na kuathiriwa kwa asilimia 100 na ugonjwa wa homa kali ya mapafu (COVID19), inayoambukizwa na virusi vya corona.
Mwenyekiti wa MAB, Dkt. Masatu Chiguma, ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki kwenye kikao cha dharura cha Bodi hiyo, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Watu Mashuhuri...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Je, kodi ya nyumba inastahili kuondoshwa katika kipindi hiki cha janga la Covid-19?

Nchini Uganda, rais Yoweri Museveni amesema kuwa haikubaliki kwa wenye nyumba kuwafurusha wapangaji wao wanashindwa kulipa kodi katika kipindi hiki.

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA USHAURI TAA YARIDHISHWA NA UKAGUZI WA CORONA TB3


Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Dkt Masatu Chiguma akipimwa joto la mwili na Afisa Afya, Yusta Malisa wakati bodi hiyo ilipotembelea Jengo la Tatu la Abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA-TB3), kwa ziara ya kikazi.
Wajumbe wa Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), wakiangalia moja ya begi likipita kwenye mkanda ikiwa ni hatua ya tatu kwa ukaguzi kabla halijafika hatua ya mwisho...

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU HUDUMA KWA WATEJA WA BENKI KUU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA COVID-19

Benki Kuu ya Tanzania (BOT) inapenda kuutarifu umma kuwa, kufuatia maelekezo ya Serikali kutaka wananchi kuchukua tahadhari za kujikinga na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona, kuanzia siku ya Jumatano tarehe 22 Aprili 2020, wananchi wote watakaotembelea ofisi za Benki Kuu  kote nchini watatakiwa kuvaa barakoa (masks) kwa lengo la kujikinga wao wenyewe na kuwakinga wafanyakazi watakaowahudumia dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.
Katika kuepuka msongamano, Benki Kuu...

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA NISHATI VIJIJINI YAKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA TAA ZA BARABARANI WILAYA YA RUANGWA



Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Nishati Vijijini imekagua utekelezaji wa mradi wa kujenga taa za barabarani katika Halimashauri ya Wilaya ya Ruangwa na kushauri Halimashauri hiyo kuchukua tahadhari ya usalama wa nguzo za taa hizo.

Ushauri huo umetolewa tarehe 03/04/2020 na Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhandisi Styden Rwebangira wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya kusambaza nishati vijijini katika Mkoa wa Lindi. “Mfikirie jinsi gani ya kukinga...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI ,SEKTA BINAFSI WATAKIWA KUKAA NA KUBUNI MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTA MUHIMU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA CORONA


Na Woinde Shizza,ARUSHA

SERIKALI pamoja na sekta binafsi zimetakiwa kukaa pamoja ili kubuni mikakati ya namna ya kuendesha sekta muhimu za uchumi kama vile sekta ya utalii ,sekta ya usafirishaji ,sekta ya kilimo ,sekta ya nishati pamoja na ufugaji bila kungoja kuisha kwa janga la Corona 19.

Hayo yamebainishwa na Mtendaji mkuu wa marafiki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Moses Adam wakati akizungumza na Michuzi Tv ambapo alisema wanatakiwa kuja na njia mbadala endelevu zitakazoendelea ...

 

10 years ago

Vijimambo

TAA yashauriwa kuimarisha kiushindani Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere JNIA.

Mwonekano wa jengo la kushushia na kupandiashia abiria linaloendelea kujengwa katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere.Mshauri Mkaazi wa ujenzi wa jengo la kufikia abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere akimwonyesha Naibu Katibu Mtendaji- Ofisi ya Rais Tume ya Mipango Bibi. Florance Mwanri (Kulia) maendeleo mradi huo.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania Bw. Suleiman S. Suleiman akitoa maelezo ya ujenzi wa jengo la kupikia na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Avunja rekodi ya kutumia taa nyingi katika mti wa Krisimasi

Mwanamume mmoja kutoka Australia amevunja rekodi ya kutumia mataa mengi zaidi kwenye mti bandia wa Krismasi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani