BODI YA NISHATI VIJIJINI YAKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA TAA ZA BARABARANI WILAYA YA RUANGWA

Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Nishati Vijijini imekagua utekelezaji wa mradi wa kujenga taa za barabarani katika Halimashauri ya Wilaya ya Ruangwa na kushauri Halimashauri hiyo kuchukua tahadhari ya usalama wa nguzo za taa hizo.
Ushauri huo umetolewa tarehe 03/04/2020 na Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhandisi Styden Rwebangira wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya kusambaza nishati vijijini katika Mkoa wa Lindi. “Mfikirie jinsi gani ya kukinga...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi30 Apr
5 years ago
Michuzi
MKANDARASI AAGIZWA KUPELEKA TAARIFA YA UTEKELEZAJI MRADI KWA BODI YA REA

Na Woinde Shizza,ARUSHA
MKANDARASI anayetekeleza mradi wa Wakala wa...
5 years ago
Michuzi
BODI YA USHAURI TAA YAIANGUKIA SERIKALI ISAIDIE TAA KATIKA KIPINDI HIKI CHA JANGA LA COVID 19
Na Bahati Mollel,TAA
BODI ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imeiangukia serikali iisaidie TAA kuigharama huduma mbalimbali za uendeshaji kwenye viwanja vya ndege kutokana na kuathiriwa kwa asilimia 100 na ugonjwa wa homa kali ya mapafu (COVID19), inayoambukizwa na virusi vya corona.
Mwenyekiti wa MAB, Dkt. Masatu Chiguma, ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki kwenye kikao cha dharura cha Bodi hiyo, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Watu...
5 years ago
CCM Blog
BODI YA USHAURI TAA YAIANGUKIA SERIKALI ISAIDIE TAA KATIKA KIPINDI HIKI CHA JANGA LA COVID 19
Na Bahati Mollel,TAA
BODI ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imeiangukia serikali iisaidie TAA kuigharama huduma mbalimbali za uendeshaji kwenye viwanja vya ndege kutokana na kuathiriwa kwa asilimia 100 na ugonjwa wa homa kali ya mapafu (COVID19), inayoambukizwa na virusi vya corona.
Mwenyekiti wa MAB, Dkt. Masatu Chiguma, ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki kwenye kikao cha dharura cha Bodi hiyo, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Watu Mashuhuri...
10 years ago
Vijimambo
TANAPA WAKABIDHI MRADI WA UJENZI WA DARAJA KATIKA VIJIJI VYA SINGANA SUNGU WILAYA YA MOSHI VIJIJINI




11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Wabunge wagombea taa za barabarani
KATIKA kile kinachoweza kutafsiriwa kama kupanda kwa joto la uchaguzi mkuu 2015, Mbunge wa Dodoma Mjini, David Malole na Felister Bura wa Viti Maalum, wote CCM, wameshambuliana mbele ya Waziri...
10 years ago
Michuzi
TAA na CCTV camera za barabarani Zanzibar


11 years ago
GPLNGUZO YA TAA BARABARANI ILIYOANGUKA DAR YAFUMBIWA MACHO NA MAMLAKA
11 years ago
MichuziOFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MRADI WA MAKAA YA MAWE NGAKA