TAA na CCTV camera za barabarani Zanzibar
![](http://2.bp.blogspot.com/-u1UlqYMnLpU/VYHRtk3vA9I/AAAAAAAHgvg/QI10OigRODg/s72-c/unnamed%2B%252867%2529.jpg)
Zanzibar yapiga hatua ,mafundi wakifunga Taa za barabarani pamoja na cctv camera katika eneo la mataa ya kuelekea darajani,unguja.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-5O7y54n38sw/VYRE4itnq7I/AAAAAAAByVM/ahnw3S8KvZo/s72-c/526.jpg)
CCTV CAMERA ZAFUNGWA MJI MKONGWE ZANZIBAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-5O7y54n38sw/VYRE4itnq7I/AAAAAAAByVM/ahnw3S8KvZo/s640/526.jpg)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Kamati ya Wataalamu ya usimamizi wa Mradi wa CCTV Camera Nd. Jabir Haji Abdulla juu ya mfumo wa utendaji kazi wa mradi wa Camera za kurikodi matukio mbali mbali ndani ya Mji Mkongwe wa Zanzibar.
Kulia ya Balozi Sei ni Balozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar Bwana Xie Yun Liang.
![](http://1.bp.blogspot.com/-DDu9_6pwYJg/VYRE43PFFAI/AAAAAAAByVQ/B3sB8iB2lw0/s640/527.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-YOwStKEYPW4/VYRE45OeFcI/AAAAAAAByVU/jzMgZfW7Cus/s640/541.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3kIhSeuE0cM/VUdnqRF7-UI/AAAAAAAHVLA/YO8DxD1AAws/s72-c/unnamed%2B(16).jpg)
3D cctv camera zinapatikana Dar es salam
![](http://2.bp.blogspot.com/-3kIhSeuE0cM/VUdnqRF7-UI/AAAAAAAHVLA/YO8DxD1AAws/s640/unnamed%2B(16).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Wabunge wagombea taa za barabarani
KATIKA kile kinachoweza kutafsiriwa kama kupanda kwa joto la uchaguzi mkuu 2015, Mbunge wa Dodoma Mjini, David Malole na Felister Bura wa Viti Maalum, wote CCM, wameshambuliana mbele ya Waziri...
10 years ago
GPLNGUZO YA TAA BARABARANI ILIYOANGUKA DAR YAFUMBIWA MACHO NA MAMLAKA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZNbBX5akm9w/XoiUOx6mn2I/AAAAAAALmAU/2Ye6qvvpbfoipaJQVZXTokmIrBSk_oF0QCLcBGAsYHQ/s72-c/0D4A3754AAA-768x512.jpg)
BODI YA NISHATI VIJIJINI YAKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA TAA ZA BARABARANI WILAYA YA RUANGWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZNbBX5akm9w/XoiUOx6mn2I/AAAAAAALmAU/2Ye6qvvpbfoipaJQVZXTokmIrBSk_oF0QCLcBGAsYHQ/s640/0D4A3754AAA-768x512.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/0D4A3766AAA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/0D4A3769AAA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/0D4A3770AA-1024x682.jpg)
Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Nishati Vijijini imekagua utekelezaji wa mradi wa kujenga taa za barabarani katika Halimashauri ya Wilaya ya Ruangwa na kushauri Halimashauri hiyo kuchukua tahadhari ya usalama wa nguzo za taa hizo.
Ushauri huo umetolewa tarehe 03/04/2020 na Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhandisi Styden Rwebangira wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya kusambaza nishati vijijini katika Mkoa wa Lindi. “Mfikirie jinsi gani ya kukinga...
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Camera zilivyonasa tukio la traffic anaburuzwa barabarani na bajaji China
Moja ya kazi ambazo ni za hatari sana duniani, kazi ya traffic nayo imo !! Barabarani kila mtu ana akili yake, nakumbuka moja ya matukio ya kusikitisha ambayo yalitokea Dar es Salaam March 2013 ilikuwa tukio la kugongwa kwa askari mmoja eneo la Bamaga ambapo mtu aliyegonga alikimbia huku akiongozana na gari za msafara wa […]
The post Camera zilivyonasa tukio la traffic anaburuzwa barabarani na bajaji China appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Zanzibar kufunga CCTV kudhibiti uhalifu
10 years ago
Daily News03 Jun
Zanzibar town to have CCTV cameras by end of year
Daily News
INSTALLATION of CCTV cameras is in progress in Zanzibar town, and the project is expected to be completed by December this year, the House was informed yesterday. “In efforts to improve security in our tourist town of Zanzibar, we will have CCTV ...
10 years ago
Daily News20 Jun
CCTV cameras installed in Zanzibar's Stone town
Daily News
CRIMINALS in Zanzibar may not have place to hide now, following the completion of the first phase of installation of CCTV cameras in the Stone town. Thanks to the ZTE Corporation, a Chinese government owned telecommunication for the donation.