Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA)


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA BODI YA KOROSHO TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwa mamlaka aliyopewa chini  ya kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009  (Sura ya 203 ya Sheria za Tanzania), amemteua Mhe. Anna  Margareth Abdallah (MB) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Korosho. 
Aidha, Mhe. Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi hiyo ya Wakurugenzi kwa mujibu wa kifungu  cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009  (Sura ya 203 ya...

 

5 years ago

Michuzi

ALIYEKUWA MWENYEKITI BODI YA WAKURUGENZI REA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SERENGETI


Na Mwandishi Wetu, MpandaWAKATI Joto la uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika mwezi Oktoba Mwaka huu likizidi kupambana moto  hapa nchini,aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya wakala wa umeme vijijini(REA)Michael Nyagoga pichani ametangaza rasmi kugombea ubunge jimbo la Serengeti mkoani Mara.
Nyagoga ambaye  amewahi kuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa taasisi mbalimbali hapa Nchini, ametangaza nia  ya kugombea nafasi hiyo jana kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi jana mjini...

 

11 years ago

Michuzi

Wajumbe Bodi ya Wakurugenzi NSSF Watembelea Ujenzi Mradi wa 'Dege ECO Village'

WAJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) leo wametembelea mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa unaojulikana kwa jina la Dege ECO Village unaojengwa eneo la Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. 
Ujenzi huo wa mji wa kisasa ambao utakuwa na nyumba za kuishi za kisasa za watu wa kipato cha kati unajumuisha ujenzi wa nyumba zaidi ya 7,000 zikiwa na huduma zote za kujamii eneo moja. Akizungumzia mradi huo mkubwa unaotekelezwa kati ya NSSF kwa...

 

9 years ago

Michuzi

UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA (TAWA)

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MALIASILI NA UTALII TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA (TAWA)
Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuujulisha umma kuwa, Bodi mpya ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania  (Tanzania Wildlife Authority -TAWA),  imeteuliwa rasmi kuanzia tarehe 09 mwezi  Septemba, 2015. Katika uteuzi huo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua...

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA NISHATI VIJIJINI YAKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA TAA ZA BARABARANI WILAYA YA RUANGWA



Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Nishati Vijijini imekagua utekelezaji wa mradi wa kujenga taa za barabarani katika Halimashauri ya Wilaya ya Ruangwa na kushauri Halimashauri hiyo kuchukua tahadhari ya usalama wa nguzo za taa hizo.

Ushauri huo umetolewa tarehe 03/04/2020 na Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhandisi Styden Rwebangira wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya kusambaza nishati vijijini katika Mkoa wa Lindi. “Mfikirie jinsi gani ya kukinga...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tanesco kushirikiana na REA kupeleka umeme vijijini

DSC09653

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mhangwa Kitwanga, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kayui kata ya Mitundu jimbo la Manyoni magharibi.

Na Nathaniel Limu, Manyoni

SERIKALI imeliagiza shirika la TANESCO lishirikiane na REA,kufanya usanifu wa kina juu ya gharama halisi ya utoaji wa huduma ya umeme katika kila kijiji nchini ili kuijengea mazingira mazuri serikali iweze kufahamu  kiasi cha fedha kitakachokidhi mahitaji.

Agizo hilo limetolewa hivi karibuni na Naibu Waziri wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani