Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA (TAWA)

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MALIASILI NA UTALII TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA (TAWA)
Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuujulisha umma kuwa, Bodi mpya ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania  (Tanzania Wildlife Authority -TAWA),  imeteuliwa rasmi kuanzia tarehe 09 mwezi  Septemba, 2015. Katika uteuzi huo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA BODI YA KOROSHO TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwa mamlaka aliyopewa chini  ya kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009  (Sura ya 203 ya Sheria za Tanzania), amemteua Mhe. Anna  Margareth Abdallah (MB) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Korosho. 
Aidha, Mhe. Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi hiyo ya Wakurugenzi kwa mujibu wa kifungu  cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009  (Sura ya 203 ya...

 

10 years ago

Michuzi

Profesa Salome B. Misana Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Salome B. Misana (pichani) kuwa Mwenyekiti  mpya wa Bodi ya Baraza la Taifa la Hifadhi  na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC).  Profesa Misana ni Mhadhiri Mwandamizi toka Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam. Uteuzi huo umeanza rasmi tarehe 4/12/2014.
Wakati huo huo , Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira,  Dkt.  Binilith Mahenge amewateua Wajumbe  wa Bodi hiyo . Walioteuliwa ni Profesa Reuben...

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ......: RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA KATIBU MKUU WIZARA YA UCHUKUZI, AVUNJA BODI YA MAMLAKA YA BANDARI (TPA) LEO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amevunja bodi ya Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) pamoja na kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka, Mwenyekiti wa Bodi ya Bandari Profesa Joseph Msambichaka pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bandari, Awadh Massawe.
Kuvunjwa kwa bodi hiyo kunatokana na utendaji mbovu wa Mamlaka hiyo kwa muda mrefu na kitendo cha kutokuchukua hatua katika vyanzo husika.
Akizungumza  na waandishi wa Habari  Ofisini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani