Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWZ ALERT : Mgonjwa wa Corona atoroka karantini Dar,atafutwa mkoani Njombe

Mgonjwa anayetokana na virusi vya Corona (Covid-19) ametoroka karantini jijini Dar es salaam,Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri amethibitisha kushikiliwa basi za kampuni ya Luwinzo mjini Makambako zilizotumiwa na mgojwa huyo na kuendelea na ukaguzi.

Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri amesema serikali inafuatilia kwa karibu chombo cha usafiri kilichotumiwa na mgonjwa aliyetoroka karantini jijini Dar es salaam.

“Hizo taarifa ni za kweli lakini bado wanafanyia kazi hawajanipa taarifa ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:WALEMAVU WAFUNGA BARABARA KARUME-ILALA JIJINI DAR LEO.

 Umati wa watu ukionekana katika eneo la Makutano ya Barabara ya Kawawa na Uhuru, Karume jijini Dar es salaam kutokana na kuwepo kwa baadhi ya walemavu wa viungo waliokaa katikati ya Barabara hizo kushinikiza kupewa eneo la Karume ili waweze kufanya biashara zao, hali iliyopelekea njia hizo kufungwa kwa muda na kuleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo.Baadhi ya Walemavu wakijadiliana jambo huku wakisubiri hatma ya mgomo wao kutatuliwa.Mmoja wa Walemavu akishiriki kwenye mgomo...

 

10 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:HELIKOPTA YAANGUKA UKONGA,JIJINI DAR,WATU WANNE WADAIWA KUPOTEZA MAISHA.

 Ajali ya Helicopter ambayo imedaiwa kuwa ni ya Maliasili na Utalii imegharimu maisha ya marubani 3 wa Jeshi la Polisi Tanzania. Sp Kidai Kaluse, Insp.Simba Must Simba, Pc. Josso Selestine, Na rubani mmoja Capt. Khalfan,Ajali  hiyo imetokea huko Kipunguni B Moshi Bar,Ukonga-Ilala jijini Dar es Salaam. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikaa mpaka sasa.  Sehemu ya mabaki ya Helikopta baada ya kuanguka Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova
akifafanua jambo...

 

11 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:WATU NANE WAKAMATWA KWA TUKIO LA VIUNGO VYA BINADAMU JIJINI DAR.

  Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam,Suleiman Kova akizungumza na Vyombo vya habari mbalimbali mapema leo, makao makuu ya jeshi la polisi jijini Dar kuhusiana na sakata la viungo vya binadamu vilivyokamatwa jana INGIA HAPA KUONA TUKIO HILO.Kamanda Kova amesema kuwa watu wanane wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo.

Kamanda Kova amesema kuwa jopo la Wataalamu saba limeundwa kuchunguza tukio hilo na amethibitisha kuwa viungo vile vilikuwa ni vya maiti,ambavyo hutumika na...

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT: RAIS DKT MAGUFULI AFANYA UTEUZI TENA,WOTE KUAPISHWA KESHO IKULU JIJINI DAR ES DALAAM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli

 

10 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:LORI LALIPUKA MIKUMI

Chumba cha Globu ya Jamii Kimepokea picha ya tukio la ajali ya Lori lililokuwa limebeba mapipa ya lami ambalo limeshika moto mapema leo asubuhi maeneo ya Mikumi,Morogoro.chanzo cha mlipuko huo bado hakijafahamika mpaka sasa na bado hatujapata taarifa kama kuna aliepoteza maisha au kupatwa kwa majeruhi.Chini ni ujumbe kutoka kwa mdau wa Globu ya Jamii alietuletea taswira hizi kuhusiana na hali ya barabara hiyo.
''Kama una safari ya kwenda Iringa-Mbeya au kama unapokwenda utapita mikumi basi...

 

9 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT;AJALI YA BASI LA LUWINZO NA LORI

Chumba cha habari cha GLOBU ya Jamii kimepata taarifa kuwa Basi la abiria  la kampuni ya Luwinzo (ambalo namba zake za usajili hazijafahimika mapema),lifanyalo safari zake Dar-Njombe inaelezwa kuwa limepata ajali asubuhi hii likitokea Njombe kuelekea Dar kwa kuligonga Lori (ambalo nalo namba zake za usajili hazikufahamika mapema), kwa taarifa za awali ambazo bado hazithibitishwa na jeshi la Polisi zinaeleza kuwa kuna vifo vya watu kadhaa,ambayo idadi yake haijajulikana mpaka sasa sambamba na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani