Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWZ ALERT:LORI LALIPUKA MIKUMI

Chumba cha Globu ya Jamii Kimepokea picha ya tukio la ajali ya Lori lililokuwa limebeba mapipa ya lami ambalo limeshika moto mapema leo asubuhi maeneo ya Mikumi,Morogoro.chanzo cha mlipuko huo bado hakijafahamika mpaka sasa na bado hatujapata taarifa kama kuna aliepoteza maisha au kupatwa kwa majeruhi.Chini ni ujumbe kutoka kwa mdau wa Globu ya Jamii alietuletea taswira hizi kuhusiana na hali ya barabara hiyo.
''Kama una safari ya kwenda Iringa-Mbeya au kama unapokwenda utapita mikumi basi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LORI LALIPUKA MIKUMI

Ajali ya Lori lililokuwa limebeba mapipa ya lami ambalo limeshika moto mapema leo asubuhi maeneo ya Mikumi,Morogoro.Chanzo cha mlipuko huo bado hakijafahamika.…

 

10 years ago

Vijimambo

LORI LALIPUKA ENEO LA MIKUMI MKOANI MOROGORO

Tumepokea picha ya tukio la ajali ya Lori lililokuwa limebeba mapipa ya lami ambalo limeshika moto mapema leo asubuhi maeneo ya Mikumi, Morogoro.chanzo cha mlipuko huo bado hakijafahamika mpaka sasa na bado hatujapata taarifa kama kuna aliepoteza maisha au kupatwa kwa majeruhi.Chini ni ujumbe kutoka kwa mdau wetu alietuletea taswira hizi kuhusiana na hali ya barabara hiyo.''Kama una safari ya kwenda Iringa-Mbeya au kama unapokwenda utapita mikumi basi sitisha safari kwani njia inefungwa...

 

9 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT;AJALI YA BASI LA LUWINZO NA LORI

Chumba cha habari cha GLOBU ya Jamii kimepata taarifa kuwa Basi la abiria  la kampuni ya Luwinzo (ambalo namba zake za usajili hazijafahimika mapema),lifanyalo safari zake Dar-Njombe inaelezwa kuwa limepata ajali asubuhi hii likitokea Njombe kuelekea Dar kwa kuligonga Lori (ambalo nalo namba zake za usajili hazikufahamika mapema), kwa taarifa za awali ambazo bado hazithibitishwa na jeshi la Polisi zinaeleza kuwa kuna vifo vya watu kadhaa,ambayo idadi yake haijajulikana mpaka sasa sambamba na...

 

10 years ago

Mwananchi

Lori la mafuta lalipuka, laua watatu Mbeya

>Ilikuwa ni kama marudio ya ajali ya mwaka 2002, lakini ukubwa wa athari za tukio la jana unatofautiana baada ya watu watatu kufariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa wakati wakijaribu kuchota mafuta kutoka kwenye lori lililopinduka katika Kijiji cha Idweli.

 

10 years ago

Mwananchi

Lori la mafuta lalipuka laua, lajeruhi 19 Dar

Moto mkubwa umeua mtu mmoja na kujeruhi wengine 19 waliokuwa wanachota mafuta ya petroli yaliyomwagika baada ya lori kupinduka.

 

11 years ago

Mwananchi

Lori la mafuta lalipuka Dar, wawili wajeruhiwa

Taharuki ya aina yake ilitokea jana eneo la Tabata Relini kwenye yadi ya malori ya Kampuni ya Oilcom baada ya kutokea kishindo kikubwa kilichotokana na kupasuka kwa tanki la mafuta.

 

11 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LADONDOKA MILIMA SEKENKE, LALIPUKA NA KUUA WATU WANNE‏

 Wananchi wakiangalia lori baada ya kuungua.  Mabaki ya lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto jioni hii.…

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT :JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AFARIKI DUNIA

Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Augustino Ramadhani amefariki Dunia leo saa mbili Asubuhi katika Hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani