Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LORI LALIPUKA MIKUMI

Ajali ya Lori lililokuwa limebeba mapipa ya lami ambalo limeshika moto mapema leo asubuhi maeneo ya Mikumi,Morogoro.Chanzo cha mlipuko huo bado hakijafahamika.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:LORI LALIPUKA MIKUMI

Chumba cha Globu ya Jamii Kimepokea picha ya tukio la ajali ya Lori lililokuwa limebeba mapipa ya lami ambalo limeshika moto mapema leo asubuhi maeneo ya Mikumi,Morogoro.chanzo cha mlipuko huo bado hakijafahamika mpaka sasa na bado hatujapata taarifa kama kuna aliepoteza maisha au kupatwa kwa majeruhi.Chini ni ujumbe kutoka kwa mdau wa Globu ya Jamii alietuletea taswira hizi kuhusiana na hali ya barabara hiyo.
''Kama una safari ya kwenda Iringa-Mbeya au kama unapokwenda utapita mikumi basi...

 

10 years ago

Vijimambo

LORI LALIPUKA ENEO LA MIKUMI MKOANI MOROGORO

Tumepokea picha ya tukio la ajali ya Lori lililokuwa limebeba mapipa ya lami ambalo limeshika moto mapema leo asubuhi maeneo ya Mikumi, Morogoro.chanzo cha mlipuko huo bado hakijafahamika mpaka sasa na bado hatujapata taarifa kama kuna aliepoteza maisha au kupatwa kwa majeruhi.Chini ni ujumbe kutoka kwa mdau wetu alietuletea taswira hizi kuhusiana na hali ya barabara hiyo.''Kama una safari ya kwenda Iringa-Mbeya au kama unapokwenda utapita mikumi basi sitisha safari kwani njia inefungwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Lori la mafuta lalipuka Dar, wawili wajeruhiwa

Taharuki ya aina yake ilitokea jana eneo la Tabata Relini kwenye yadi ya malori ya Kampuni ya Oilcom baada ya kutokea kishindo kikubwa kilichotokana na kupasuka kwa tanki la mafuta.

 

10 years ago

Mwananchi

Lori la mafuta lalipuka, laua watatu Mbeya

>Ilikuwa ni kama marudio ya ajali ya mwaka 2002, lakini ukubwa wa athari za tukio la jana unatofautiana baada ya watu watatu kufariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa wakati wakijaribu kuchota mafuta kutoka kwenye lori lililopinduka katika Kijiji cha Idweli.

 

10 years ago

Mwananchi

Lori la mafuta lalipuka laua, lajeruhi 19 Dar

Moto mkubwa umeua mtu mmoja na kujeruhi wengine 19 waliokuwa wanachota mafuta ya petroli yaliyomwagika baada ya lori kupinduka.

 

11 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LADONDOKA MILIMA SEKENKE, LALIPUKA NA KUUA WATU WANNE‏

 Wananchi wakiangalia lori baada ya kuungua.  Mabaki ya lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto jioni hii.…

 

11 years ago

GPL

LORI LATEKETEA KWA MOTO BAADA YA KUGONGANA NA LORI LINGINE

Lori la kusafirisha mafuta linateketea kwa moto. Lori la kusafirisha mafuta likiwa na shehena kubwa ya mafuta aina ya Diesel limeteketea kwa moto baada ya kupata ajali ya kugongwa na lori lingine katika eneo la igurusi wilayani mbarali. Ajali hiyo imetokea  ikihusisha lori lenye namba za usajili T417 ABF, mali ya kampuni ya Camel oil ambalo lilikuwa likisafirisha lita 35,000 za mafuta aina ya diesel kutoka jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani