LORI LATEKETEA KWA MOTO BAADA YA KUGONGANA NA LORI LINGINE
Lori la kusafirisha mafuta linateketea kwa moto. Lori la kusafirisha mafuta likiwa na shehena kubwa ya mafuta aina ya Diesel limeteketea kwa moto baada ya kupata ajali ya kugongwa na lori lingine katika eneo la igurusi wilayani mbarali. Ajali hiyo imetokea  ikihusisha lori lenye namba za usajili T417 ABF, mali ya kampuni ya Camel oil ambalo lilikuwa likisafirisha lita 35,000 za mafuta aina ya diesel kutoka jijini Dar es...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLLORI LA MAFUTA LAANGUKA, LATEKETEA KWA MOTO DAR
10 years ago
VijimamboLORI LA MAFUTA LATEKETEA KWA MOTO MBAGALA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO
Sehemu ya Mabaki Lori la mafuta lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo mara baada ya kupiga mweleka likiwa katika hatakati ya kulikwepa gari lingine lililokuwa likitokea Kongowe ambalo liliingia ghafla barabarani bila ya tahadhari,hali iliyolipelekea Lori hilo kukosa mwelekeo na kupiga mweleka.
Lori hilo pamoja na kupiga kwake mweleka halikuwa na madhara yeyote wala dalili ya kusema litawaka moto.Baada ya muda likaja kundi la vijana likiwa na madumu na mifuko ya plastiki na kuanza...
10 years ago
Michuzi19 Feb
WATU WAWILI WAMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA AJALI YA BASI KUGONGANA USO KWA USO NA LORI
Watu wawili wamefariki dunia papo hapo katika ajali ya Basi kugongana na Lori ajali iliyotokea tarehe 19/02/2015 majira ya saa 13:15hrs huko eneo la Vikonje Kata ya Mtumba Barabara ya Dodoma – Morogoro.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema ajali hiyo imehusisha Basi lenye namba za usajili T. 663 AXL aina ya SCANIA Kampuni ya KIDIA ONE lililokuwa litokea Dar es Salaam kwenda Mwanza...
9 years ago
Michuzi11 years ago
GPL10 years ago
Mwananchi24 Oct
Majeruhi moto wa lori hali tete
10 years ago
Mwananchi18 Oct
Majeruhi wa moto wa lori la mafuta Mbagala hali bado mbaya
10 years ago
Vijimambowanafunzi Tunduma walala barabarani baada Lori kuua mwanafunzi
Lori linaloonekana pembeni limepinduka, limesababisha ajali na kuua mwanafunzi. Wanafunzi wakiwa wamekaa barabarani...
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: LORI LA MAFUTA LAWAKA MOTO MBAGALA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO
Lori hilo pamoja na kupiga kwake mweleka halikuwa na madhara yeyote wala dalili ya kusema litawaka moto.Baada ya muda likaja kundi la vijana likiwa na madumu na mifuko ya plastiki na kuanza...