Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majeruhi wa moto wa lori la mafuta Mbagala hali bado mbaya

Majeruhi wa moto uliotokana na mlipuko wa lori la mafuta huko Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam, waliolazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili hali zao zinaendelea kuwa mbaya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Majeruhi moto wa lori hali tete

Majeruhi watano kati ya saba wa ajali ya mlipuko wa lori la mafuta, Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam, hali zao bado haziridhishi.

 

10 years ago

Vijimambo

LORI LA MAFUTA LATEKETEA KWA MOTO MBAGALA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO


Sehemu ya Mabaki Lori la mafuta lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo mara baada ya kupiga mweleka likiwa katika hatakati ya kulikwepa gari lingine lililokuwa likitokea Kongowe ambalo liliingia ghafla barabarani bila ya tahadhari,hali iliyolipelekea Lori hilo kukosa mwelekeo na kupiga mweleka.
Lori hilo pamoja na kupiga kwake mweleka halikuwa na madhara yeyote wala dalili ya kusema litawaka moto.Baada ya muda likaja kundi la vijana likiwa na madumu na mifuko ya plastiki na kuanza...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: LORI LA MAFUTA LAWAKA MOTO MBAGALA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO

Sehemu ya Mabaki Lori la mafuta lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo mara baada ya kupiga mweleka likiwa katika hatakati ya kulikwepa gari lingine lililokuwa likitokea Kongowe ambalo liliingia ghafla barabarani bila ya tahadhari,hali iliyolipelekea Lori hilo kukosa mwelekeo na kupiga mweleka.
Lori hilo pamoja na kupiga kwake mweleka halikuwa na madhara yeyote wala dalili ya kusema litawaka moto.Baada ya muda likaja kundi la vijana likiwa na madumu na mifuko ya plastiki na kuanza...

 

10 years ago

Vijimambo

MAJERUHI WA MOTO WA PETROLI MBAGALA WALIOLAZWA MUHIMBILI




Baadhi ya majeruhi wa ajali ya moto wakiwa wodini.


MAJERUHI 9 kati ya 15 waliofikishwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuungua na moto uliosababishwa na kuungua kwa lori la mafuta huko Mbagala jijini Dar es Salaam Oktoba 15 mwaka huu, wanaendelea na matibabu huku hali zao zikiwa bado mbaya.

Kamera yetu ilifika katika hospitali hiyo na kuwakuta wagonjwa hao wakiwa wamelazwa katika wodi namba 23 iliyopo katika jengo la Sewahaji na Afisa Uhusiano msaidizi wa Muhimbili, Doris Ihenga...

 

10 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LAPATA AJALI MBAYA TANGA

lori la mafuta likiteketea kwa moto mara baada ya kugonga ngozo ya umeme huko Handeni ,Tanga. Wananchi wakishuhudia…

 

10 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LAANGUKA, LATEKETEA KWA MOTO DAR

Mashuhuda wakieleza yaliyotokea. Wafanyakazi kampuni inayomiliki lori hilo ambayo bado haijafahamika, wakifanya tathmini ya hasara iliyopatikana.…

 

11 years ago

Mwananchi

Ronaldo bado hali mbaya

Cristiano Ronaldo amezua tena wasiwasi kwa mashabiki wa Ureno baada ya jana asubuhi kuonekana akitoka katika hoteli akiwa na barafu katika goti lake la kushoto huku wakijiandaa na mchezo mgumu wa kwanza dhidi ya Ujerumani.

 

10 years ago

Dewji Blog

Nyalandu:Hali ya ujangili nchini bado ni mbaya

Lazaro-Nyalandu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar.

Na Mwandishi wetu

WAKATI juhudi mbalimbali zikifanyika katika kupambana na ujangili nchini, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema bado hali ni mbaya.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Jijini Dar es Salaam, katika mkutano wa wadau wa maendeleo katika kupambana na ujangili, Nyalandu alisema bado wanaendelea kubuni mbinu mbalimbali ili kukomesha vitendo hivyo.

Waziri huyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani